LGE2024 Manyoni: George Juma Mohamed, Mgombea wa CHADEMA auawa kwa kupigwa risasi usiku wa kuamkia tar 27, 11, 2024

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Mgombea kupitia Chadema wa Kitongoji cha Stand, kata ya Mkwese, Jimbo la Manyoni Mashariki George Juma Mohamed ameuwawa kwa kupigwa risasi ya kiuno usiku wa kuamkia leo tarehe 27 Novemba 2024, majira ya saa saba usiku nyumbani kwake. Mwili wa marehemu upo hospitali ya wilaya ya Manyoni.

Pia soma:LIVE - LGE2024 - Special Thread: Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
4R, mitano tena
 
Itafika kipindi MTU anaweza kukupiga risasi mchana kweupe na hakuna kitu utafanya..nchi imeshakufa hii kama Mzee mwenye umri wa zaidi ya miaka 75 alitekwa kwenye bus na akauawa itandikana kwenye uchaguzi?
 
Mgombea kupitia Chadema wa Kitongoji cha Stand, kata ya Mkwese, Jimbo la Manyoni Mashariki George Juma Mohamed ameuwawa kwa kupigwa risasi ya kiuno usiku wa kuamkia leo tarehe 27 Novemba 2024, majira ya saa saba usiku nyumbani kwake. Mwili wa marehemu upo hospitali ya wilaya ya Manyoni.

Pia soma:LIVE - LGE2024 - Special Thread: Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Huko si ndio Kuna Yule Mbunge rafiki yake na Zoka?
 
Uenyekiti tu mpaka bastola, mwakani urais, ubunge na udiwani si watu watapigana ma RPG
 
Yaani kwa sasa hakuna kilicho hatari kwa maisha ya watanzania, kama CCM. CCM imekuwa adui namba moja wa uhai, usalama na ustawi wa mtanzania. Ni aheri hata mkoloni alikuwa na huruma kuliko CCM. Hakuna mkoloni aliyekuwa akiua watu hovyo, kama inavyofanya CCM.
Anguko lao limefika
 
Back
Top Bottom