Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natamani ningekuelewa neno kwa neno, kibeberu hakipandi kiviiile, yaani nadokoadokoa tu maneno. Leo kwenye kibeberu sijaokota hata mojaMkuu Bujibuji kwanza nikupongeze kwa mke mwema. Mimi nadhani mke wako anachohitaji "Mind set" ili aweze kuamini kwamba wanaume waaminifu kama wewe wapo. Jaribu kuongea naye na ikiwezekana kuuangana naye katika maombi ili aanze kukuona wewe kama muumini mwenzake na sio mume tu. Mimi ninaamini kama anaomba " with right Motive" Mungu atampatia majibu sahihi ya dukuduku lake.
Ahsante
Nampaga dozi, ana squirt, siku ya Kwanza nikadhani ana fistulaMbona rahisi tu,ukiona akakupigia kelele muda huo huo mvutie kitandani tu hapo,mpe full doze ataacha kukusumbua........ Inawezekana unampa muda mrefu sana wa kupumzika mpaka anahisi unamchepuko.....muoverdose ataacha kukusumbua
Wakati mwingine vyanzo vya mifarakano ya kindoa ni vitu vidogo sana
Mpende Mungu wako kwa moyo wako wote, na nguvu zako zote na akili zako zote. Mke hapendwi, anaheshimiwa tu. Ukimoenda mkeo utamfanya kuwa Mungu kwako, nawe utamuabudu, naye ataupindua Moto wako wa ibadaInaonekana humpendi mkeo. Si umrahisishie mkeo hapo? Tafuta mchepuko fasta na tengeneza mazingira ya kukufuma.
Kama anataka kuoneshwa mchepuko na ww hauna, anachokitafuta ni nini? akishagundua ili iweje? Ningekuwa mimi, ningemrahisishia kazi. Sipendi ujinga kabisa
hahahahaahMkuu hio inaitwa golden chance Mara nyingi haiji nyakati mbili. Mtafutie mwezie huyo!!
Daaah!! Umewaza mbali Sana Mkuu acha nikupe [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Mkuu labda nikushauri tofauti, kama hujawahi kabisa kuwa na mwanamke mwingine, ujue mkeo anataman upate mwanamke atakaelifundisha mambo flani, kuna jambo kama mwanaume hulifanyi kisawasawa, hivo anaona akikuambia atakuvunja moyo so anatafta mtu wa kumtupia zigo ili upate 3xperience. Nashukuru kama utaelewa.
mmmmhNina mwaka wa nane wa ndoa na hakika nimekuwa ni mvumilivu Sana na mwaminifu Sana kwa ndoa yetu.
Nimezaliwa na kukulia kwenye familia ya Kikristo yenye msimamo mkali wa kiimani, hivyo Basi sijawahi kuvuta sigara, kunywa Pombe na hata uzinzi sio mzinzi, mke wangu ni mwanamke pekee kulala naye tangu nizaliwe.
Kinachonikera kwa miaka yote hiyo mke wangu amekuwa akitamani sana kumjua mwanamke ninaye tembea naye nje ya ndoa.
Mara ya Kwanza nikajua ananitania, Mara kwa Mara alikuwa ananiambia darling natamani nimjue mwanamke unayetembea naye, nione kanizidi nini?
Daima jibu langu Mimi nimeokoka siwezi kuwa na mtu mwingine zaidi yako. Haniamini na haamini majibu yangu, simu zangu na e mails yeye ndiye huset password, ana access nazo muda wote.
Sasa kuanzia juzi Yuko kwenye maombi, anaomba aonyeshwe kwa namna yoyote mwanamke ninayetembea naye, maana anachojua yeye hamna mwanaume asiyechepuka.
Mbaya zaidi anaomba kwa kulia kwa sauti huku akipigapiga ukutani.