TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 5,771
- 17,849
Form One
Ulichelewa wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Form One
We acha tu..nilikuwa bado naogopa ogopa si unajua tena. Nilivyofika form one nikanasa kwa mwamba mmoja hiviUlichelewa wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hebu mchunguze vizuri anaweza kuwa ameanza kutumia bangi
We acha tu..nilikuwa bado naogopa ogopa si unajua tena. Nilivyofika form one nikanasa kwa mwamba mmoja hivi
Zile thread zako za Uchawi umeona uachane nazo umehamia upande wa pili?!!.Nina mwaka wa nane wa ndoa na hakika nimekuwa ni mvumilivu Sana na mwaminifu Sana kwa ndoa yetu.
Nimezaliwa na kukulia kwenye familia ya Kikristo yenye msimamo mkali wa kiimani, hivyo Basi sijawahi kuvuta sigara, kunywa Pombe na hata uzinzi sio mzinzi, mke wangu ni mwanamke pekee kulala naye tangu nizaliwe.
Kinachonikera kwa miaka yote hiyo mke wangu amekuwa akitamani sana kumjua mwanamke ninaye tembea naye nje ya ndoa.
Mara ya Kwanza nikajua ananitania, Mara kwa Mara alikuwa ananiambia darling natamani nimjue mwanamke unayetembea naye, nione kanizidi nini?
Daima jibu langu Mimi nimeokoka siwezi kuwa na mtu mwingine zaidi yako. Haniamini na haamini majibu yangu, simu zangu na e mails yeye ndiye huset password, ana access nazo muda wote.
Sasa kuanzia juzi Yuko kwenye maombi, anaomba aonyeshwe kwa namna yoyote mwanamke ninayetembea naye, maana anachojua yeye hamna mwanaume asiyechepuka.
Mbaya zaidi anaomba kwa kulia kwa sauti huku akipigapiga ukutani.
Hongera sana bazaziDaah ila ulijitahidi. Mi kuna moja nimeisambaratisha juzikati dem kamaliza nayo hadi masters aisee nilimshangaa sana. Ila alilia sana akasema hakutegemea kama itakuja kutolewa na bazazi kama mimi
Umenichekesha sanaMimi alikuwa anaomba eti niache pombe nikamwambia hiyo sala yako ikifanikiwa utakufa njaa na watoto hawataenda shule kwani kwenye pombe ndio natengeneza mipango ya pesa!
Na nikamwambia sala zako usiku sana ni kero nitakuwa siji mpaka umalize kwani unanikosesha usingizi .sali mapema au nenda kanisani.
Akafyata mkia kwani nilikuwa ikifika saa sita usiku nampigia kama bado anaendelea na kelele zake za maombi ili niendelee kupika stori sitaki kurudi nikute nyumba imebadirishwa kanisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ha ha ha Mshana umesababisha nimecheka hapa kitandani asubhi mpaka naye huyu jamaa yangu kauliza unacheka nini nipe nisome meseji itakuwa imetoka kwa mchepuko nimempa asome ili naye aache kunisumbua na masala yao haya na wanachoudhi zaidi wanapeleka na hela kibao ya sadaka huko wanakotuombea tuwe waume bora eti tuache pombe na tusiwe na michepuko na wakati huu wa mechi za mpira za usiku yaani kabla hujarudi nyumba inakuwa imegeuzwa sinagogi duh duh
Sahihi kabsa mkuu...namshauri aufanyie kazi ushauri wetu kabla mkewe hajanogewa na mchezo.Naungana na wewe mkuu. Kuna uwezekano mkubwa huyu mwanamke kuna mtu tena mume wa mtu anapiga. sasa mwanamke hicho kitu kinamuumiza anafeel guilty sana kwahiyo ndio anatafuta "leverage". Akijua na jamaa ana mchepuko basi atafurahi sana maana atajua kumbe sio yeye tu.
Tuishi na wake zetu kwa akili...tumia akili zako mkuu,au nkupe akili zanguNifundishe Hadi nielewe
Akili inayoongelewa kwenye Bible ni hela, nyumba kali na gari ya maana. Unavyo? Kama huna, Basi wewe😴🤯🤕Tuishi na wake zetu kwa akili...tumia akili zako mkuu,au nkupe akili zangu
😅😃 bila shaka wachungaji wanatumia mstari huo vizuri...Akili inayoongelewa kwenye Bible ni hela, nyumba kali na gari ya maana. Unavyo? Kama huna, Basi wewe😴🤯🤕
Mbona rahisi tu,ukiona akakupigia kelele muda huo huo mvutie kitandani tu hapo,mpe full doze ataacha kukusumbua........ Inawezekana unampa muda mrefu sana wa kupumzika mpaka anahisi unamchepuko.....muoverdose ataacha kukusumbuaNina mwaka wa nane wa ndoa na hakika nimekuwa ni mvumilivu Sana na mwaminifu Sana kwa ndoa yetu.
Nimezaliwa na kukulia kwenye familia ya Kikristo yenye msimamo mkali wa kiimani, hivyo Basi sijawahi kuvuta sigara, kunywa Pombe na hata uzinzi sio mzinzi, mke wangu ni mwanamke pekee kulala naye tangu nizaliwe.
Kinachonikera kwa miaka yote hiyo mke wangu amekuwa akitamani sana kumjua mwanamke ninaye tembea naye nje ya ndoa.
Mara ya Kwanza nikajua ananitania, Mara kwa Mara alikuwa ananiambia darling natamani nimjue mwanamke unayetembea naye, nione kanizidi nini?
Daima jibu langu Mimi nimeokoka siwezi kuwa na mtu mwingine zaidi yako. Haniamini na haamini majibu yangu, simu zangu na e mails yeye ndiye huset password, ana access nazo muda wote.
Sasa kuanzia juzi Yuko kwenye maombi, anaomba aonyeshwe kwa namna yoyote mwanamke ninayetembea naye, maana anachojua yeye hamna mwanaume asiyechepuka.
Mbaya zaidi anaomba kwa kulia kwa sauti huku akipigapiga ukutani.
Nina mwaka wa nane wa ndoa na hakika nimekuwa ni mvumilivu Sana na mwaminifu Sana kwa ndoa yetu.
Nimezaliwa na kukulia kwenye familia ya Kikristo yenye msimamo mkali wa kiimani, hivyo Basi sijawahi kuvuta sigara, kunywa Pombe na hata uzinzi sio mzinzi, mke wangu ni mwanamke pekee kulala naye tangu nizaliwe.
Kinachonikera kwa miaka yote hiyo mke wangu amekuwa akitamani sana kumjua mwanamke ninaye tembea naye nje ya ndoa.
Mara ya Kwanza nikajua ananitania, Mara kwa Mara alikuwa ananiambia darling natamani nimjue mwanamke unayetembea naye, nione kanizidi nini?
Daima jibu langu Mimi nimeokoka siwezi kuwa na mtu mwingine zaidi yako. Haniamini na haamini majibu yangu, simu zangu na e mails yeye ndiye huset password, ana access nazo muda wote.
Sasa kuanzia juzi Yuko kwenye maombi, anaomba aonyeshwe kwa namna yoyote mwanamke ninayetembea naye, maana anachojua yeye hamna mwanaume asiyechepuka.
Mbaya zaidi anaomba kwa kulia kwa sauti huku akipigapiga ukutani.
Maombi ni utamaduni wa kizungu, afuate ushauri wa wazee wa mila, wakifanya tambiko la kiafrika atapata jibuMimi alikuwa anaomba eti niache pombe nikamwambia hiyo sala yako ikifanikiwa utakufa njaa na watoto hawataenda shule kwani kwenye pombe ndio natengeneza mipango ya pesa!