Maombi, sala na dua za mke wangu ni kero kwangu

Nina mwaka wa nane wa ndoa na hakika nimekuwa ni mvumilivu Sana na mwaminifu Sana kwa ndoa yetu.

Nimezaliwa na kukulia kwenye familia ya Kikristo yenye msimamo mkali wa kiimani, hivyo Basi sijawahi kuvuta sigara, kunywa Pombe na hata uzinzi sio mzinzi, mke wangu ni mwanamke pekee kulala naye tangu nizaliwe.

Kinachonikera kwa miaka yote hiyo mke wangu amekuwa akitamani sana kumjua mwanamke ninaye tembea naye nje ya ndoa.

Mara ya Kwanza nikajua ananitania, Mara kwa Mara alikuwa ananiambia darling natamani nimjue mwanamke unayetembea naye, nione kanizidi nini?

Daima jibu langu Mimi nimeokoka siwezi kuwa na mtu mwingine zaidi yako. Haniamini na haamini majibu yangu, simu zangu na e mails yeye ndiye huset password, ana access nazo muda wote.

Sasa kuanzia juzi Yuko kwenye maombi, anaomba aonyeshwe kwa namna yoyote mwanamke ninayetembea naye, maana anachojua yeye hamna mwanaume asiyechepuka.

Mbaya zaidi anaomba kwa kulia kwa sauti huku akipigapiga ukutani.
mtambulishe
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] Au kwasababu group la wakubwa limefutwa si tulikuwa wote kule au
 
Nipe namba yako ya simu ili unifundishe kufumania, mi sijui
Sitaki kesi mkuu...kuvunja ndoa ya watu ni dhambi kubwa sana Ila sjasema kwamba mkeo anachepuka ni ktk tahadhari tu kulingana na maneno yake

Simu yake na marafiki zake ni mwanzo wa utafiti wako.
 
...fanya uchunguzi mkuu kuna mtu anapiga mkeo...kama sio mchungaji sijui

Naungana na wewe mkuu. Kuna uwezekano mkubwa huyu mwanamke kuna mtu tena mume wa mtu anapiga. sasa mwanamke hicho kitu kinamuumiza anafeel guilty sana kwahiyo ndio anatafuta "leverage". Akijua na jamaa ana mchepuko basi atafurahi sana maana atajua kumbe sio yeye tu.
 
Back
Top Bottom