Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Mimi nasema hakuna huyo mwanamkeAiseeee wapo
Mwanaume malaya ana soko kubwa kuliko wa kawaida..
Kumbuka nilisema deep down wanapenda hii kwahiyo nje nje uwaga mnakataa ila ndani ya moyo uwaga mnajiuliza hivi huyu ana nini mbona anapendwa ngoja nijaribu nione.
Popote pale mwanaume ukifika ukatembea na mwanamke mmoja mzuri basi kama ni mtaani au darasani au kazini basi hapo ni umefungulia lango la kutembea na wanawake wengi ktk ilo eneo....
Tunao humu makazini tulikuwa nao humu vyuoni tunaona kabisa mtu ana maliza darasa hivi hivi na ni yeye mmoja mtu.Chunguza na wewe ulipo tafuta mwanaume malaya mmoja uone wanawake wanavyokuwa na mawenge wakimuona,wewe jitoe angalia wanawake wenzako wanyofanya mbele ya mwanaume malaya..just observe.