Nazjaz
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 7,730
- 9,088
Heee mna ugomvi? Au ndio huyu alikutapeli USA? Maana ulisema ni mwana JF, hukumtaja jinawewe ndio u stop hayo mambo ya kununua ugomvi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heee mna ugomvi? Au ndio huyu alikutapeli USA? Maana ulisema ni mwana JF, hukumtaja jinawewe ndio u stop hayo mambo ya kununua ugomvi
Nina mwaka wa nane wa ndoa na hakika nimekuwa ni mvumilivu Sana na mwaminifu Sana kwa ndoa yetu.
Nimezaliwa na kukulia kwenye familia ya Kikristo yenye msimamo mkali wa kiimani, hivyo Basi sijawahi kuvuta sigara, kunywa Pombe na hata uzinzi sio mzinzi, mke wangu ni mwanamke pekee kulala naye tangu nizaliwe.
Kinachonikera kwa miaka yote hiyo mke wangu amekuwa akitamani Sana kumjua mwanamke ninaye tembea naye nje ya ndoa.
Mara ya Kwanza nikajua ananitania, Mara kwa Mara alikuwa ananiambia darling natamani nimjue mwanamke unayetembea naye, nione kanizidi nini?
Daima jibu langu Mimi nimeokoka siwezi kuwa na mtu mwingine zaidi yako.
Haniamini na haamini majibu yangu, simu zangu na e mails yeye ndiye huset password, ana access nazo muda wote.
Sasa kuanzia juzi Yuko kwenye maombi, anaomba aonyeshwe kwa namna yoyote mwanamke ninayetembea naye, maana anachojua yeye hamna mwanaume asiyechepuka.
Mbaya zaidi anaomba kwa kulia kwa sauti huku akipigapiga ukutani.
Upendo hauhusudu. Hiyo husda, ni unafiki na kutafuta uadui. Huwezi kuwa na husda halafu ukasema wewe ni mwaminifuNilidhani mwaminifu kwenye ndoa ni mimi pekee kumbe tupo wengi, ongera sana kaka. Sasa na wewe anza kuomba Mungu akuonyeshe anayetembea na mke wako.
Huyo Rebeca 83 anijulie wapi? Mimi simjui, simchukii ila ninampenda na kumuombea, Tena maombi ya dhati ili awe na mafanikio ya rohoni na mwilini.Heee mna ugomvi? Au ndio huyu alikutapeli USA? Maana ulisema ni mwana JF, hukumtaja jina
Walokole mnausumbufu, tatizo haujamzibua vya kutosha hilo sikio LA chini, we unampapasa tu, ungekuwa unampa mgegedo wa kutosha hawezi subutu kukwambia hayo, punguza upole kwenye mechi ichape hadi aseme inatoshaNina mwaka wa nane wa ndoa na hakika nimekuwa ni mvumilivu Sana na mwaminifu Sana kwa ndoa yetu.
Nimezaliwa na kukulia kwenye familia ya Kikristo yenye msimamo mkali wa kiimani, hivyo Basi sijawahi kuvuta sigara, kunywa Pombe na hata uzinzi sio mzinzi, mke wangu ni mwanamke pekee kulala naye tangu nizaliwe.
Kinachonikera kwa miaka yote hiyo mke wangu amekuwa akitamani Sana kumjua mwanamke ninaye tembea naye nje ya ndoa.
Mara ya Kwanza nikajua ananitania, Mara kwa Mara alikuwa ananiambia darling natamani nimjue mwanamke unayetembea naye, nione kanizidi nini?
Daima jibu langu Mimi nimeokoka siwezi kuwa na mtu mwingine zaidi yako.
Haniamini na haamini majibu yangu, simu zangu na e mails yeye ndiye huset password, ana access nazo muda wote.
Sasa kuanzia juzi Yuko kwenye maombi, anaomba aonyeshwe kwa namna yoyote mwanamke ninayetembea naye, maana anachojua yeye hamna mwanaume asiyechepuka.
Mbaya zaidi anaomba kwa kulia kwa sauti huku akipigapiga ukutani.
Nipe mstari kutoka kwenye maandiko wa kusimamia wakati wa kuchakata TukuyuWalokole mnausumbufu, tatizo haujamzibua vya kutosha hilo sikio LA chini, we unampapasa tu, ungekuwa unampa mgegedo wa kutosha hawezi subutu kukwambia hayo, punguza upole kwenye mechi ichape hadi aseme inatosha
In other way, mimi akiwa anaomba na kupiga ukuta mie huku naingiza dude kunako halali yake@#$%& cgjyijdhv b ?Sxch inxyitakuwa ana kijipepo kidogo dogo kinamsumbua,anza naww kumuombea
akipiga ukuta ww piga kabati kwa maombi...hakuna jambo linashindikana asee......ni kuombeana tuu.
Ndio maana saa nyingine yupo usiku mkubwa anapost jamiiforumsDuuh usiku wa saa 8:34 , kweli umetingwa...pole mkuuu Bujibuji
Tekenolojia imemuumbua Rebeca 83
Nipe no yake nimpigie video callNina mwaka wa nane wa ndoa na hakika nimekuwa ni mvumilivu Sana na mwaminifu Sana kwa ndoa yetu.
Nimezaliwa na kukulia kwenye familia ya Kikristo yenye msimamo mkali wa kiimani, hivyo Basi sijawahi kuvuta sigara, kunywa Pombe na hata uzinzi sio mzinzi, mke wangu ni mwanamke pekee kulala naye tangu nizaliwe.
Kinachonikera kwa miaka yote hiyo mke wangu amekuwa akitamani Sana kumjua mwanamke ninaye tembea naye nje ya ndoa.
Mara ya Kwanza nikajua ananitania, Mara kwa Mara alikuwa ananiambia darling natamani nimjue mwanamke unayetembea naye, nione kanizidi nini?
Daima jibu langu Mimi nimeokoka siwezi kuwa na mtu mwingine zaidi yako.
Haniamini na haamini majibu yangu, simu zangu na e mails yeye ndiye huset password, ana access nazo muda wote.
Sasa kuanzia juzi Yuko kwenye maombi, anaomba aonyeshwe kwa namna yoyote mwanamke ninayetembea naye, maana anachojua yeye hamna mwanaume asiyechepuka.
Mbaya zaidi anaomba kwa kulia kwa sauti huku akipigapiga ukutani.
0692151868Nipe no yake nimpigie video call
Hakuna maandiko we chakata hadi MTU aombe dk za kwenda kunywa majiNipe mstari kutoka kwenye maandiko wa kusimamia wakati wa kuchakata Tukuyu