Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
OkJehovah witness na jumba lao la wafalme wako mbali Sana ndio maana alisambuka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OkJehovah witness na jumba lao la wafalme wako mbali Sana ndio maana alisambuka
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hizi tuhuma jamani, chupi ya upako sijui ikoje, na sijui inasaidi niniNi kawaida ya wanawake, Wana maji ya upako, mafuta ya upako, chumvi ya upako, chupi ya upako kwa wanaotaka kuolewa au kupata watoto zaidi ya hayo yote, unawakuta wamejipanga mstari kwa Mshana Jr
Hakuna mwanamke anapenda mwanaume mwenye wanawake wengi.Hahahah anatamani uchepuke trust me....
Mi mke wangu siku moja katika story story aliniambia yaani mi ningekuwa mwanaume ningewagonga htr[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].
Deep down wanapenda mwanaume mwenye wanawake wengi huu ni upuuzi ambao hata mimi toka nimewajua wanawake sijawahi kuulewa una maana gani
😂 😂Jinga wewe [emoji23]
Nunua gunia za mkaa badala ya tatu nunua 4. Ziweke chumbani bila kusema lolote akiendelea nitafuteNina mwaka wa nane wa ndoa na hakika nimekuwa ni mvumilivu Sana na mwaminifu Sana kwa ndoa yetu.
Nimezaliwa na kukulia kwenye familia ya Kikristo yenye msimamo mkali wa kiimani, hivyo Basi sijawahi kuvuta sigara, kunywa Pombe na hata uzinzi sio mzinzi, mke wangu ni mwanamke pekee kulala naye tangu nizaliwe.
Kinachonikera kwa miaka yote hiyo mke wangu amekuwa akitamani Sana kumjua mwanamke ninaye tembea naye nje ya ndoa.
Mara ya Kwanza nikajua ananitania, Mara kwa Mara alikuwa ananiambia darling natamani nimjue mwanamke unayetembea naye, nione kanizidi nini?
Daima jibu langu Mimi nimeokoka siwezi kuwa na mtu mwingine zaidi yako.
Haniamini na haamini majibu yangu, simu zangu na e mails yeye ndiye huset password, ana access nazo muda wote.
Sasa kuanzia juzi Yuko kwenye maombi, anaomba aonyeshwe kwa namna yoyote mwanamke ninayetembea naye, maana anachojua yeye hamna mwanaume asiyechepuka.
Mbaya zaidi anaomba kwa kulia kwa sauti huku akipigapiga ukutani.
Hakuna mwanamke anapenda mwanaume mwenye wanawake wengi.
Siui Wala sizini, hizo ni kazi za yule mwovu ibilisiNunua gunia za mkaa badala ya tatu nunua 4. Ziweke chumbani bila kusema lolote akiendelea nitafute
Kwani nimekuelekeza kuua!!Siui Wala sizini, hizo ni kazi za yule mwovu ibilisi
Mkaa wa Nini Sasa?Kwani nimekuelekeza kuua!!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nimejikuta nacheka kwa nguvu, hii nayo mpya sasa, sijui wanawake nani kawalogaKama hutongozwi, ndoa in migogoro unavaa chupi ya upako
KupikiaMkaa wa Nini Sasa?
Hili jibu kama linatoka moyoni barikiwaSiui Wala sizini, hizo ni kazi za yule mwovu ibilisi
Hana kazi za kufanya huyo mtu
Anachokitafuta atakipata
Majibu yenu yamenikoshaSasa kwa mfano unae huyo mchepuko unamwambia kukuacha hawezi anabaki kufwa kimoyomoyo
Ya nini yote haya kama mwanaume anakucheat muache tu mpaka arobaini yake ifike sio kumchunguza
jamani sisi wanawake bwana unalolitafuta utalipata mwanamke mwenzangu endelea
Mimi alikuwa anaomba eti niache pombe nikamwambia hiyo sala yako ikifanikiwa utakufa njaa na watoto hawataenda shule kwani kwenye pombe ndio natengeneza mipango ya pesa!
Na nikamwambia sala zako usiku sana ni kero nitakuwa siji mpaka umalize kwani unanikosesha usingizi .sali mapema au nenda kanisani.
Akafyata mkia kwani nilikuwa ikifika saa sita usiku nampigia kama bado anaendelea na kelele zake za maombi ili niendelee kupika stori sitaki kurudi nikute nyumba imebadirishwa kanisa
Ha ha ha Mshana umesababisha nimecheka hapa kitandani asubhi mpaka naye huyu jamaa yangu kauliza unacheka nini nipe nisome meseji itakuwa imetoka kwa mchepuko nimempa asome ili naye aache kunisumbua na masala yao haya na wanachoudhi zaidi wanapeleka na hela kibao ya sadaka huko wanakotuombea tuwe waume bora eti tuache pombe na tusiwe na michepuko na wakati huu wa mechi za mpira za usiku yaani kabla hujarudi nyumba inakuwa imegeuzwa sinagogi duh duh