Maombi ya kuahirishiwa ziara ya Rais Samia inayotazamiwa kuanza nchini Uturuki

Wanabodi heshima kwenu wakuu!

Nimesoma kwenye gazeti la mwananchi toleo la leo 16/04/2024 ukurasa wa 17, kuwa RAIS DR SAMIA
atafanya ziara ya kikazi nchini Uturuki kwa mda wa siku 5 kuanzia tarehe 17/04/2024

Naomba nitoe maoni yangu binafsi juu ya hii ziara, kwa kuikumbusha tu taasisi ya Rais,

1) Tunayo mafuriko kule mbeya na rufiji kama sikosei na kuna wananchi hawana makazi
2) Shule zaidi ya 20 zimefungwa kwa sababu ya hali ya hewa na mafuriko kutokana na mvua zinazoondelea kunyesha maeneo tofauti tofauti
3) Sina uhakika kama mawasiliano ya miundombinu imerejeshwa kule mtwara.

Kwangu naona kwa upendo tu RAIS Angeshughulika na mambo ya ndani kama dharura, ili kupoza mioyo ya wananchi ambao kimsingi ndiyo wapiga kura haswa! furaha ya Raia 1 huongeza matumini kwa wengine 1000 zaidi.

Kwa kujua kuwa Mheshimiwa Rais unayo majukumu mengi pokea kama ombi ukiona yafaa unaweza kuisogeza mbele ziara yako ukashughulikia hayo machache ya dharura

Naweza nisiwe mwandishi mzuri ila ujumbe wangu kwa Rais ni huo

mr Bonny.

Pia soma > Rais Samia kufanya ziara ya kikazi ya Siku Tano Nchini Uturuki kuanzia Tarehe 17-21 Mwezi huu
Na msafara utakuwa na wajumbe wangapi?
 
Acheni wivu kwa mama, makamu yupo ataongoza nchi.
 
Ombaomba halioni hilo
Umealikwa nenda ukiahirisha sikupi ulichoomba
Soon election zinakuja na zinahitaji hela mnazo?
Au tukaombe
Halafu waafrika mnaona hayo mafuriko ndio mtaji wa kuombea misaada
Mtazunguka kila mahali
 
Ila jamani siku tano ni nyingi sana mfano atandoka na ujumbe wa watu 150 gharama shi ngapi
Alafu usisahau hivi juzi zimetumika ngapi huko Monduli kumbu kumbu ya miaka 40 ya Sokoine jee kulikuwa na ulaxima kweli miaka 40
 
Wanabodi heshima kwenu wakuu!

Nimesoma kwenye gazeti la mwananchi toleo la leo 16/04/2024 ukurasa wa 17, kuwa RAIS DR SAMIA
atafanya ziara ya kikazi nchini Uturuki kwa mda wa siku 5 kuanzia tarehe 17/04/2024

Naomba nitoe maoni yangu binafsi juu ya hii ziara, kwa kuikumbusha tu taasisi ya Rais,

1) Tunayo mafuriko kule mbeya na rufiji kama sikosei na kuna wananchi hawana makazi
2) Shule zaidi ya 20 zimefungwa kwa sababu ya hali ya hewa na mafuriko kutokana na mvua zinazoondelea kunyesha maeneo tofauti tofauti
3) Sina uhakika kama mawasiliano ya miundombinu imerejeshwa kule mtwara.

Kwangu naona kwa upendo tu RAIS Angeshughulika na mambo ya ndani kama dharura, ili kupoza mioyo ya wananchi ambao kimsingi ndiyo wapiga kura haswa! furaha ya Raia 1 huongeza matumini kwa wengine 1000 zaidi.

Kwa kujua kuwa Mheshimiwa Rais unayo majukumu mengi pokea kama ombi ukiona yafaa unaweza kuisogeza mbele ziara yako ukashughulikia hayo machache ya dharura

Naweza nisiwe mwandishi mzuri ila ujumbe wangu kwa Rais ni huo

mr Bonny.

Pia soma > Rais Samia kufanya ziara ya kikazi ya Siku Tano Nchini Uturuki kuanzia Tarehe 17-21 Mwezi huu
Wewe unatafuta kurogwa tu,
 
Mwacheni akatafute pesa badala ya kushinda kujibizana na wakina Makonda na Mange
 
Back
Top Bottom