Maombi ya kuahirishiwa ziara ya Rais Samia inayotazamiwa kuanza nchini Uturuki

Na msafara utakuwa na wajumbe wangapi?
 
Acheni wivu kwa mama, makamu yupo ataongoza nchi.
 
Ombaomba halioni hilo
Umealikwa nenda ukiahirisha sikupi ulichoomba
Soon election zinakuja na zinahitaji hela mnazo?
Au tukaombe
Halafu waafrika mnaona hayo mafuriko ndio mtaji wa kuombea misaada
Mtazunguka kila mahali
 
Ila jamani siku tano ni nyingi sana mfano atandoka na ujumbe wa watu 150 gharama shi ngapi
Alafu usisahau hivi juzi zimetumika ngapi huko Monduli kumbu kumbu ya miaka 40 ya Sokoine jee kulikuwa na ulaxima kweli miaka 40
 
Wewe unatafuta kurogwa tu,
 

Mwacheni akatafute pesa badala ya kushinda kujibizana na wakina Makonda na Mange
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…