Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutokufuta majina ndiko kunawafanya warudi.Hayafuti coz baada ya mda Raia Hurudi kurenew mkataba [emoji28][emoji28][emoji28]
Hivi kuonana na mwenyekiti wa chama ni sh ngapi?
Chama kibovu hikiUngeomba ushauri kwanza mkuu kabla hujafanya maamuzi. hujiulizi kwann akina lowasa walirudi kuunga mkono juhudi za mkuu? Enewei unakaribishwa tena
Huyu kama lowasa tu, utasemaje umeahama chama na haujarudisha kadi?
[emoji3][emoji3]Tumepokea barua yako
Nikiwa msemaji wa chama nikutakie safari njema huko uendako
Rai kwa wanachaputa
Mi nipende kuwahusia tuepushe kuwa na tabia za kimalaya kwenye siasa kama unabaki unabaki kweli kwenye chama sio unaondoka halafu unarudi tena ni hayo tu
Asanteni
Chaputa makao makuu
Chattle ,Geita Tz
Kikao cha chama ni leo saa 7:00 mchana , mwenyekiti anaenda kuongea na wanachama waandishi wa habari mnakaribishwa[emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]
Ila kadi sijarudisha bado
Ningeshangaa kama ningepita huu uzi nikukose mwenyekiti taifa... 🤣Roho imeniuma sana