Maombi ya kujivua uanachama CHAPUTA

Maombi ya kujivua uanachama CHAPUTA

Je uo mwenzio uliempata. Kweli utaweza kumridhisha? Ukiwa nwanachama hai wa CHAPUTA wengi wenyu wabakabiliwa na matatizo ya kuwahi mapema. Hata hivyo usihofu Dawa ninazo....
Chama kina members hai na tunataka watu kama nyie ili kiendelee
Au nasema uongo ndugu zangu?
CHAPUTA 2021.
 
Yan kwamba makao makuu ya hiyo sijui CHAPUTA ni mkoani geita,chato.kha sasa ni kodi kiasi gani mnaingizia serikali ya maskini.
Mjumbe swali lako tumelipata,
Tunakuahidi kulifanyia kazi.
CHAPUTA 2021.
 
Vp kuhusu ukarabati wa jengo makao makuu ndugu wajumbe?
Ndugu mjumbe ahsante kwa maoni yako
Tunaahidi kuyfanyia kazi.
CHAPUTA 2021
GEITA-CHATTLE.[Makao makuu]
 
Chama kitaelekea kufa

Nahisi sasa mtafute katibu mwenezi wa chama kwa sababu aliyepo kazi imemshinda[emoji23][emoji120]
 
Ndugu wajumbe nasikia tetesi kwamba CHAPUTA ni tawi la Freemason. Je ni kweli au ni maneno ya wapinzani???
🤣🤣🤣🤣🤣 hao wanaosema ivo ni wapiga ramli chonganishi wakamatwe mara moja.
 
Ndugu wajumbe nasikia tetesi kwamba CHAPUTA ni tawi la Freemason. Je ni kweli au ni maneno ya wapinzani???
Ndugu mjumbe wa CHAPUTA kaskazini,
Nikiwa kama mwanachama mstaafu nipende kusema kua hizo habari ni za uongo na hazina ukweli wowote.
Nipende kutoa rai kwa wanaCHAPUTA wote kua hizo habari zipuuzwe.

Makao makuu CHAPUTA,
GEITA-CHATTLE.
 
Tumepokea barua yako
Nikiwa msemaji wa chama nikutakie safari njema huko uendako

Rai kwa wanachaputa
Mi nipende kuwahusia tuepushe kuwa na tabia za kimalaya kwenye siasa kama unabaki unabaki kweli kwenye chama sio unaondoka halafu unarudi tena ni hayo tu

Asanteni


Chaputa makao makuu

Chattle ,Geita Tz
Chattle,,, chaputa imeshafika!!!

Sent from my ONE A2001 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom