Maombi yangu kwa Mungu kwa ajili yako Lissu

Maombi yangu kwa Mungu kwa ajili yako Lissu

Siri yangu

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2023
Posts
2,252
Reaction score
4,839
5285.jpg

Sina kizuri cha kuandika Mungu yupo pamoja nawe,
Nipo nasikiliza wimbo wa Aswagile: Alienikoa nikakukumbuka mwamba uliekubali ufe umesimama katika kweli , najua wapo wanaokubeza leo ila kesho haipo mbali watakulilia hata ukiwa kaburini.😭😭😭
 
Lissu hawezi kwenda kaburini kabla ya kumalizia kazi ya ukombozi.

Mchimba mashimo.....
Mpaka ukombozi utimie ili ulimwengu ujue kwanini hakufa baada ya risasi 16 kuingia kwenye mwili wake, kumbe kuna kusudio kuu toka kwa Mungu muumba mbingu na nchi la Lissu ku survive that kind of horrific injury. Mungu ampe maisha marefu mzalendo huyu
 
Sina kizuri cha kuandika Mungu yupo pamoja nawe,
Mungu, aliyeumba mbingu na nchi, hawezi kuwa pamoja na mtu anayeshabikia ushoga. Ushoga ni chukizo kwake. Labda kama unamaanisha mungu wa dunia hii, ambaye ni shetani.
 
Mungu, aliyeumba mbingu na nchi, hawezi kuwa pamoja na mtu anayeshabikia ushoga. Ushoga ni chukizo kwake. Labda kama unamaanisha mungu wa dunia hii, ambaye ni shetani.
Huu uzi ni kwa ajili ya watu wenye akili timamu ,ukianziahwa wenu nyie vichaa mtaitwa
 
Lissu ni mtu mwema Mungu akulinde na kukupa afya njema huko gerezani. Muachieni Tundu siyo muhaini.
 
Back
Top Bottom