Siri yangu
JF-Expert Member
- Jul 22, 2023
- 2,252
- 4,839
Naimani na hili mkuuLissu hawezi kwenda kaburini kabla ya kumalizia kazi ya ukombozi.
Mchimba mashimo.....
HaleluyaMUNGU NI MWEMA SANA
AMEN AMEN AMEN
AmenHaleluya
Mpaka ukombozi utimie ili ulimwengu ujue kwanini hakufa baada ya risasi 16 kuingia kwenye mwili wake, kumbe kuna kusudio kuu toka kwa Mungu muumba mbingu na nchi la Lissu ku survive that kind of horrific injury. Mungu ampe maisha marefu mzalendo huyuLissu hawezi kwenda kaburini kabla ya kumalizia kazi ya ukombozi.
Mchimba mashimo.....
Mungu, aliyeumba mbingu na nchi, hawezi kuwa pamoja na mtu anayeshabikia ushoga. Ushoga ni chukizo kwake. Labda kama unamaanisha mungu wa dunia hii, ambaye ni shetani.Sina kizuri cha kuandika Mungu yupo pamoja nawe,
TKTK AKILI 0!Mungu, aliyeumba mbingu na nchi, hawezi kuwa pamoja na mtu anayeshabikia ushoga. Ushoga ni chukizo kwake. Labda kama unamaanisha mungu wa dunia hii, ambaye ni shetani.
Kwa kusema ukweli waziwazi?TKTK AKILI 0!
Huu uzi ni kwa ajili ya watu wenye akili timamu ,ukianziahwa wenu nyie vichaa mtaitwaMungu, aliyeumba mbingu na nchi, hawezi kuwa pamoja na mtu anayeshabikia ushoga. Ushoga ni chukizo kwake. Labda kama unamaanisha mungu wa dunia hii, ambaye ni shetani.
Wazee na mazombie ndio waliielewa propaganda hii mfu.Mungu, aliyeumba mbingu na nchi, hawezi kuwa pamoja na mtu anayeshabikia ushoga. Ushoga ni chukizo kwake. Labda kama unamaanisha mungu wa dunia hii, ambaye ni shetani.
Washabiki wa ushoga ndio wenye akili timamu?Huu uzi ni kwa ajili ya watu wenye akili timamu ,ukianziahwa wenu nyie vichaa mtaitwa
Vijana mnaona ni propaganda kwa kuwa inawezekana mmo!Wazee na mazombie ndio waliielewa propaganda hii mfu.
Na kuna mwingine alisema yeye ni mke number 1… Mungu akamfanyia wepesi Siku chache baada ya kauli hiyo…Washabiki wa ushoga ndio wenye akili timamu?
AmeenLissu ni mtu mwema Mungu akulinde na kukupa afya njema huko gerezani. Muachieni Tundu siyo muhaini.
KabisaaNa kuna mwingine alisema yeye ni mke number 1… Mungu akamfanyia wepesi Siku chache baada ya kauli hiyo…