Maombi yenu nasafiri kwenda Dar kukutana na asiyejulikana

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kadatishwa na mapicha fake mapicha ya kudownload wanawake wa mjini hawana maana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shunie bhna,, ngoja aende bhana atakuwa kadatishwa na mapicha picha huyu sio bure
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kadatishwa na mapicha fake mapicha ya kudownload wanawake wa mjini hawana maana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawana maana hata kdogo,, ngoja wakamtoe maji,,maana amedai anatoka Karagwe
 
Ukute hata nauli ya kurudi hana. Ila kukubali kufikia nyumbani kwa mwenyeji wake ni kosa kubwa. Bora wangekutana lodge
Nauli ipo hata ya kufika Moro nikapiga reverse ila kwa vile ameonekana kama anahitaji na Mimi ngoja tu nikamuone hapo kwake hamna namna ili niamini je ni kweli hana mtu
 
Nauli ipo hata ya kufika Moro nikapiga reverse ila kwa vile ameonekana kama anahitaji na Mimi ngoja tu nikamuone hapo kwake hamna namna ili niamini je ni kweli hana mtu
Basi kila la kheri mkuu. Hope for the best.
 
Hawa hawa wanawake wa Das'lam? Unajua matukio mengi ya uhalifu kwa jiji la Dar wanawake ndio mainjinia wakubwa?

Chukua tahadhari mkuu.
 
Sitakuja kulala kwa mwanamke kwa yaliyonikuta
Ilikuwa Arusha babati,nimeenda kwenye kongamano flani 2016,basi kuna Dada tukapendana sana,akawa anakuja lodge namdukua anarudi kwake,

Siku moja nikaenda kwake baada ya kunibembeleza sana,ana good life nikastaajabu kaanza Kazi hana hata nusu mwaka yuko fresh sana

Bhasi tukaendelea kufanya yetu huku tunapombeka,drunkard love!!

Tumelala hoi hatujielewi Mara honi Mara simu Mara ngongongoo mlangoni!!
Nikamuuliza bibie nani huyo demu anazunguka tu kama amebaha pombe zimeruka!

Mzee baba nikafungiwa kabatini,wakaanza kulana huku nasikilizia,sikuwa na cha kufanya lijamaa lilikuwa soldier captain bisto hakosi.

Ilibidi nisikilizie wamalize gemu jamaa aoge asinzie ndio nitoke,sina hamu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…