Maombi yenu nasafiri kwenda Dar kukutana na asiyejulikana

Basi acha niishie hapo..tuvute subra muda wake muafaka ufike. Ila popote unapokua na chochote unachokifanya, usisahau ahadi yetu.

Iko siikuuu...

Hahahahahhahaha umenikimbusha huu wimbo....

ikoo sikuuu eeehh mpenz Maua,
Nitakuja kwa wazazi wakoo, mpenz upepo...

Hili dude ushaliamsha tayari....linakuhusu hili njoo upambane nalo.
 
Hewaa nilikua naogopa kuendeleza mistari ya hilo songi. Old is gold wanasema. Sasa hivi naogopa kukuletea conflict of interest...

Cha muhimu tu, itunze ahadi yetu Kasie
 
Hhahahahahahahahaaa

Mbinu zako za kivita sio za mchezo mchezo....

Umenifanya nirudi nyuma hatua tatu nikungalie tena..... huyu Samaritan huyu.....

Utamu wa ahadi kutimilizwa na wote.
 
Unakumbuka nilikwambia vuruga weeee, ukishaona imetosha. Umekinai kila kitu. Nitafute
 
Nayakumbuka sana maneno yako, kila uchao. Najiuliza tuu, ntaweza?? Au utaweza kunidhibiti??

Bora kama unayakumbuka. Kwanini tushindwane na wakati nakuachia muda na uhuru wote huu wa kufanya chochote ufanyacho Kasie ? Au hautaweza kunisubiria hadi utakapomaliza kabisa mambo yako?

Sina kinyongo kabisa, moyo mweupe. Hiyo yote ni kuepusha tafrani meli yetu itakapokuja kung'oa nanga.
 
Basi wacha nimalizane na haya.... natumai yajayo yatatuneemesha....
 
marinda yanatatuliwa ×2
ayeeeee yanatatuliwa
leo leo yanatatuliwa eeeeh yanatatuliwa

imebidi nikutungie ka wimbo mkuu kila la kheri
 
Jaman huyu Magacha mbona haonekani tena......sijui Kama usalama upo
 
Back
Top Bottom