Maombi yenu tafadhali

Yeye hakutakiw apate uchungu ingeleta shida so doctor akapanga operation tarehe 25 ila wife akaomba iwe leo zifanane. .

My wife can't give normally operation inahusika mzee. My wife na watoto wangu wawili wote birthday zao 29th. .
Sawa brother, hongera na all the best
 
Acha tu hapa ataamka saa kumi. Atakala mpaka saa kumi ndio ale na kunywa. Bado siku ni ndefu. Ila she is sleeping next to me. Nimeambia na doctor nimkande kande miguu. .
 
Yote juu ya yote hongera kuzaa sio kazi ndogo ila mjini hapa kuna maslay queen hawawezi kupush,wao hupangaappointment na madaktarii siku ya kupigwa mkasi
 
Yote juu ya yote hongera kuzaa sio kazi ndogo ila mjini hapa kuna maslay queen hawawezi kupush,wao hupangaappointment na madaktarii siku ya kupigwa mkasi
Ni mbaya sana operation sio kitu kizuri huwa wanawazaga nn sijui na nasikia pia Kuna maumivu sana Bora ujifungue kawaida km hauna shida yoyote
 
Ni mbaya sana operation sio kitu kizuri huwa wanawazaga nn sijui na nasikia pia Kuna maumivu sana Bora ujifungue kawaida km hauna shida yoyote
Hayo yote si kwa kupenda. Ndio dunia ilivyo. .
 
Much congratulations mkuuu watoto ni baraka!!
Mungu ni mwema atasaidia arekave mapema na kusiwe na changamoto zozote zitokanazo na oparie!
Allah Awajalie afya njema furaha na maisha marefu wewe mama na wanao IJN!
 
Mliopata watoto mmebarikiwa sana maana ni Raha kupita kiasi kuwa na watoto,huwa nafikiriaga Ile Raha unapewa mwanao unyonyeshe aisee Kwa mara ya kwanza😍
 
Soma zaburi 23..... Barikiwa Sana mtumishi

Zaburi 23:1-6

"BWANA ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu. Katika malisho ya majani mabichi hunilaza, Kando ya maji ya utulivu huniongoza. Hunihuisha nafsi yangu; na kuniongoza Katika njia za haki kwa ajili ya jina lake. Naam, nijapopita kati ya bonde la kivuli cha mauti, Sitaogopa mabaya; Kwa maana Wewe upo pamoja nami, Gongo lako na fimbo yako vyanifariji. Waandaa meza mbele yangu, Machoni pa watesi wangu. Umenipaka mafuta kichwani pangu, Na kikombe changu kinafurika. Hakika wema na fadhili zitanifuata Siku zote za maisha yangu"
Hongera tena na tena Gily
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…