Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa brother, hongera na all the bestYeye hakutakiw apate uchungu ingeleta shida so doctor akapanga operation tarehe 25 ila wife akaomba iwe leo zifanane. .
My wife can't give normally operation inahusika mzee. My wife na watoto wangu wawili wote birthday zao 29th. .
Acha tu hapa ataamka saa kumi. Atakala mpaka saa kumi ndio ale na kunywa. Bado siku ni ndefu. Ila she is sleeping next to me. Nimeambia na doctor nimkande kande miguu. .😄😄 Hongera sana....kila la kheri kwa mkeo atoke salama huko..
Kuna masaa si chini ya 8 ya kulala kwa mgongo tu... Ganzi ikiisha kuna maumivu yatapita hapo....kuna ile siku ya kuanza mazoezi...ile unaanza nyanyuka kwa mara ya kwanza maumivu yake yasikie..... Mungu amfanyie wepesi kwa yote..... Operation sio kitu chepesi basi tu
Waoh atabak kuwa wajina tu wenye Hilo jina tumebarikiwa sanaWajina wako huyu sema ukaamua kubadilisha jina 😀 shukran sana
Yote juu ya yote hongera kuzaa sio kazi ndogo ila mjini hapa kuna maslay queen hawawezi kupush,wao hupangaappointment na madaktarii siku ya kupigwa mkasiMimba ya kwanza mke wangu alijifungua kwa operation. Tulitegemea iwe kawaida bahati haikuw yetu mtoto alikuwa amejifunga nilihangaika kutafuta doctor Amana na Muhimbili. .
Sasa kutokana na hali yake hatakiwi apate uchungu na mshono ulikuwa katika hali ya kitatuka. Hakuna anayependa kufanya operation ndugu yangu uambie mdomo wako "mdomo koma". Mambo ya kheri yapite njia zako usikutane na kasia hizi. .
Mungu ni mwema nimepata mtoto wa kiume. Anafanana na mimi saba sana . .
Ni mbaya sana operation sio kitu kizuri huwa wanawazaga nn sijui na nasikia pia Kuna maumivu sana Bora ujifungue kawaida km hauna shida yoyoteYote juu ya yote hongera kuzaa sio kazi ndogo ila mjini hapa kuna maslay queen hawawezi kupush,wao hupangaappointment na madaktarii siku ya kupigwa mkasi
Kweli ila wanaoomba wenyew wanakosea sanaHayo yote si kwa kupenda. Ndio dunia ilivyo. .
Kudeka tu,waende usukumani au kigoma waone,case za operation kwa wazazi ni very minorNi mbaya sana operation sio kitu kizuri huwa wanawazaga nn sijui na nasikia pia Kuna maumivu sana Bora ujifungue kawaida km hauna shida yoyote
sure thing , sema before you know it , chaa , all the best na uleziHaah thank you ngoja nisubiri kwanza bado bado. .
Basi fujo fujo zako kumu nikajuaga una miaka 18 bana 😁😁😊😊!!Unataka muanze kuniamkia shikamoo humu ndani?
Mambo vipi inanitosha😀 maana siku hizi hata road naamkiwa shikamoo father shikamoo brother mpaka na wenye mvi noma. .
Mliopata watoto mmebarikiwa sana maana ni Raha kupita kiasi kuwa na watoto,huwa nafikiriaga Ile Raha unapewa mwanao unyonyeshe aisee Kwa mara ya kwanza😍Much congratulations mkuuu watoto ni baraka!!
Mungu ni mwema atasaidia arekave mapema na kusiwe na changamoto zozote zitokanazo na oparie!
Allah Awajalie afya njema furaha na maisha marefu wewe mama na wanao IJN!
Soma zaburi 23..... Barikiwa Sana mtumishi