Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sana sanaHabari za asubuhi ndugu zangu wa JF,
Leo asubuhi tarehe 29/03 ni siku ya furaha kwangu kwa sababu kuu mbili. Kwanza kabisa ni siku ya kuzaliwa mke wangu mpendwa, ametimiza miaka 29🙂. Namtakia kheri ya kuzaliwa na ningependa kusheherekea nanyi ndugu zangu.
Pili, Leo hii tuko hospital magomeni hapa. Mda huu amepangiwa c section (kujifungua kwa operation). Huyu akiwa mtoto wetu wa pili. Hivi navyoandika hapa yuko chumba cha upasuaji (Theatre) na mimi niko nje nasubiri.
Ndugu zangu huu ni mwezi wa Kwaresma na pia ni mwezi wa Ramadhani. Tuwe pamoja na kheri njema ya maombi yenu.
Ndugu yenu Gily . .
Updates:
07:41 Nimefurahi sana ndugu zangu nimepata mtoto wa kiume. Niko nae hapa analia kinyama mpaka natamani nilie. Mungu kanipa hitaji la moyo wangu, nilikuwa natamanj sana kuwa na mtoto wa kiume. .
Mke wangu bado yuko chumba cha upasuaji. Nimepewa taarifa she is doing fine ila bado wanamshona na kumsafisha. I can't wait to see her.
Shukrani sana shangazi Leo umekuwa bibi😀Zaburi 23:1-6
"BWANA ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu. Katika malisho ya majani mabichi hunilaza, Kando ya maji ya utulivu huniongoza. Hunihuisha nafsi yangu; na kuniongoza Katika njia za haki kwa ajili ya jina lake. Naam, nijapopita kati ya bonde la kivuli cha mauti, Sitaogopa mabaya; Kwa maana Wewe upo pamoja nami, Gongo lako na fimbo yako vyanifariji. Waandaa meza mbele yangu, Machoni pa watesi wangu. Umenipaka mafuta kichwani pangu, Na kikombe changu kinafurika. Hakika wema na fadhili zitanifuata Siku zote za maisha yangu"
Hongera tena na tena Gily
Mliopata watoto mmebarikiwa sana maana ni Raha kupita kiasi kuwa na watoto,huwa nafikiriaga Ile Raha unapewa mwanao unyonyeshe aisee Kwa mara ya kwanza😍
Ndio uwe unamsaidia mwenzio kumbadilisha diapers na kumsafisha kachanga usiku sasa !Shukrani sana shangazi Leo umekuwa bibi😀
Unakimbia wapi baki umsaidie mwenzio huko!Wewe watoto wangu wamepishana padogo unataka niweke tena sio kwa speed hiyo😀 Kwanza nasafiri🙃
Hiyo hospitali inaonekana iko vizuri, ni private bila shaka.How did you know[emoji854]
Niko Istiqama I am surprised you know it. Niko hapa chumba private, niko na mwanangu namngojea mama yake atoke operation room. .
View attachment 2569605
Bado aiseeKwamba bado hujapata mtoto?
Tumwite kibabuu 😀😀Asante sana sana sana. Mpe jina mwanao basi wewe mama😀
Unasubiri nini fanya mamboo banaa! Watoto ni baraka wee hutaki kumzalia mwamba??😂😂😂Bado aisee
Sana yaani na natamani sana tu naona nishakuwa machuadi😀kuwa mama ila huyu mwamba amtafute@Gily ampe darasa 😂😂😂Unasubiri nini fanya mamboo banaa! Watoto ni baraka wee hutaki kumzalia mwamba??😂😂😂