Maoni: Alikiba hakuendana na ukubwa wa sherehe

Tuache utani, Alikiba haifai kuwa mshereheshaji wa shughuli nyeti kama hiyo, jamaa amepooza sana na maringo kibao
Kiba kwa kweli hana amshaamsha alafu pia ana poor selection of song linaloendana na tukio husika
 
Kwa kifupu mshikaji wenu kazingua snaa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kiba na Simba wapi na wapi?

Yule amekimbia Yanga kwa ujio wa Diamond Platnumz ,ameogopa.
Daah kumbe inawezekana ndio sababu
 
Ali Kiba hana vibe.... pale alitakiwa Vanny boy au Chibu,tuseme tu ukweli,halafu pia wimbo ulitakiwa upigwe unaoendana na tukio.Kuimba eti 'mke wa mtu,sususususu... ni sumu... Wenger yawezekana alikua anashangaa tu.Management yake kama ilijua jamaa atapafomu,angeandaliwa kwa kuambiwa atunge hata historical song of the particular event.Anyway... nadhani waandaaji walitaka kumpa dili Kiba,kwasababu ya USIMBA na UYANGA.
 
Hapo ndipo walipofeli
 
Mondi kaperform tuzo za award za mchezaji bora wa Africa aliyochukua Mane, kaperform big brother Africa, kafanya show kwenye ufunguzi wa michuano ya Africa Afcon na hivi karibuni kachaguliwa kuperform tuzo za Trace Award itakayofanyika ufaransa
Lakini sio African football League mbele ya wenger!!
 
Tuache utani, Alikiba haifai kuwa mshereheshaji wa shughuli nyeti kama hiyo, jamaa amepooza sana na maringo kibao
Na kasoro jana ilikuwa nini?
Kwakuwa your fav hakuwepo au Shida nini?.
Kuperform mbele ya watu 60k sio sawa na kufanya shoo Dar live.
Kati ya performance mbovu kuwahi kufanyika kwenye matamasha ya Mpira Bongo hii la mondi ni namba moja.
 
Inabidi kuwepo na kupima ubongo wa mtu before hajapost chochote
 
Na ndio kapewa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…