Maoni: Alikiba hakuendana na ukubwa wa sherehe

Mr yanga unateseka ukiwa wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio kiherehere cha kukurupuka haya sasa walaumuni CAF. Mmezoea kulalamika.
 
Ali Kiba aliulizwa kuhusu selection ya wimbo, akasema watu wa CAF waliondaa sherehe waliuchagua. Hata muda mfupi alioutumia kufanya show pia ilikua ni mpango wa waandaji wa hiyo sherehe so sio uamuzi wake wala Simba.
 
Kwa ule wimbo...hapana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…