Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Mr yanga unateseka ukiwa wapiJana nimecheka sana yaani kuna Rais wa FIFA, CAF na legendary Wenger then anakuja msanii Alikiba anaimba wimbo wa mke wa mtu sumu! [emoji23][emoji23] Ama kweli uongozi wa Simba kama alivyosema rage ni Mbumbumbu.
Haileti sense kwenye sherehe kubwa unaimba wimbo ule, ni kama unawafokea viongozi, na mashabiki, that's why nilitoka uwanjani kwa hasira sana.
Pale ilibidi isikike neno "We zombie" Simba la Simba chibu dangote "Shu", ama kweli Pengo la Diamond na Harmonize limeonekana jana kwa Mkapa.
Sent using Jamii Forums mobile app