Maoni binafsi: Namna/Jinsi wanawake wanavyosababisha wanaume wengi kuchepuka katika ndoa

Hamna kama harufu sio nzuri unazani atavutia au unasahau harafu huwa wakati mwingine inachanganya halimashauri ya kichwa
 
Hahaha! Hahaha! Umenichekesha kwa kweli mkuu....eti kupangilia chumbaπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Sasa je. Hata tufanyaje mtatoa kasoro tu. Sio kuwa hatuoni kasoro zenu. Tumeamua kutulia ña nyie waume zetu kina fundi mokoroboi wetu. Leo ukiamua kukaa na mkeo ukamuuliza vitu gani havipendi toka kwako. Hutaamini nakwambia 😁😁😁 yani unaweza kuta kila kitu chako hakipendi,
 
Utaishi single wewe kama usipo badilika
Bora niishi single kwa kweli ila sio kujipa ugonjwa wa figo kisa mtoto wa mtu. Mwanaume kuchepuka ni umalaya wake tu. Mi sijichoshi kwa kweli πŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ€—
Moyo wa kujichosha unipite tu pyepyeruuu. Nitatimiza wajibu wangu kama mke. Ila hekaheka sitaki.

Utaishi single wewe kama usipo badilika
 
Kama hujitunzi vizuri mwanaume anatakuwa mwanafunzi wa mfalme Suleiman anacopy na kupaste tabia yake 🀣🀣 au ndio unampango wakuwa single mother?πŸ€”πŸ€”
 
Kama hujitunzi vizuri mwanaume anatakuwa mwanafunzi wa mfalme Suleiman anacopy na kupaste tabia yake 🀣🀣 au ndio unampango wakuwa single mother?πŸ€”πŸ€”
😁😁😁 niwe tu kwa kweli. Wanaume ni waongo. Na unaweza ishi nae miaka mia asione kasoro, ila akishaanza kufananiisha na watu wa nje, lazima ataiona kasoro yako. Kamwe usifananishe mkeo na mtu lazima utamuona kachuja.

Mfano Mimi, mume wangu tulianza kujuana nikiwa na miaka 14, tukaoana Nina miaka 26, miaka yote tuko fresh tu, mi ni yuleyule, nikiwa ma miaka 33 akaja kusema anapenda kipini cha puani nitoboe πŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ™„πŸ™„ nikawazua weeee, kwao hakuna mwenye kipin, miaka yote alikuwa wapi? Lazima kuna sehemu kaona kipin,
Yani nijiumize lipua langu, nitoke mafua tundu moja, machozi jicho moja, πŸ˜₯πŸ˜₯ kisa kumfurahisha mtoto wa mama mkwe. Hahahaaa haipo hiyo
Jibu: poa, katoboe kama umekipenda 😁😁
Mbona ndoa bado ipo na tushazeeka sasa. Mi kujichosha hapana kwa kweli.
 
Mlianza mapema kweli duuh
 

Hayana maana haya maana nao wana cheat.
 
Maandishi yote haya ni kwa ajili ya chini tu??
😹😹
 
Mlianza mapema kweli duuh
😁😁😁 mapema gani tena. Hahaaa nimekwambia tulikutana 14, tulikuwa marafiki kawaida tu, tumeanza kudate nina miaka 22, ndoa 26, kawaida mbona. Na sasa tushazeeka.
Sasa hapo mtu ndio aje na visababu kuhalalisha uchepukaji wake πŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ€— haipo hiyo.
 
Asante kwa kunisaidia kuhakiki ule msemo wa HAKUNA URAFIKI KATI YA MWANAUME na MWANAMKE ,,,sawa sababu umesema ni umalaya sizani kabisaa ila chanzo kikubwa kusababisha ni mwanamke
 
Hivi nyie wanaume mnajikuta akina nani?yaani kuna kauapecial fulani mnajipa.
Yaani weekend nifanye usafi wa kina,nikupikie ule,nifunge nguo zote bado nihangaike sijui kukuvalia vimini?kama ni hivyo we kachepukee ukichoka utakuja
 
Hivi nyie wanaume mnajikuta akina nani?yaani kuna kauapecial fulani mnajipa.
Yaani weekend nifanye usafi wa kina,nikupikie ule,nifunge nguo zote bado nihangaike sijui kukuvalia vimini?kama ni hivyo we kachepukee ukichoka utakuja
Haha hahaha asante sana dada yangu. Sema kabla ya ndoa ulikuwa ukiyafanya haya yote. So ushanozoeza mama.
 
Haha hahaha asante sana dada yangu. Sema kabla ya ndoa ulikuwa ukiyafanya haya yote. So ushanozoeza mama.
Sasa majukumu yakiongezeka na vingine lazima vipungu,ndo maana ukishamzalisha mchepuke utashangaa naye anakuwa kama mke wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…