Maoni Binafsi: Sina imani na Mzee Kinana

Maoni Binafsi: Sina imani na Mzee Kinana

Argumentum ad hominem...

Kamarada Kinana amechafuliwa sana na "siasa majitaka"....[emoji1787]

Zilianzia hapaaa....

El Commandante Kingunge Ngombale Mwiru aliwahi kusema "....CCM NIMEACHA VIJANA WATATU TU..."

1)Jakaya Mrisho Kikwete
2)Edward Ngoyai Lowassa
3)Komredi Abdulrahman Kinana

**********

TAFAKARI

#SiempreJMT[emoji120]

#Karibuni Komoni[emoji120]
Aliacha vijana watatu au vibaka watatu?
 
Yani unataka tumbili amchunguze nyani kwamba amekwapua mahindi shambani 🤔🤔sahau kuhusu hilo, hiyo ni ndoto ya jinamizi linalo tisha Sana
 
Tukija kwenye mada, si mara moja wala mara 2 nikiwa na watu wa kuaminika na wenye heshima kubwa wanao simamia mali asili zetuhususa ni hifadhi, wakanijuza kuwa tunahujumiwa.

Ndiyo, tunahujumiwa. Ikumbukwe kuwa mali asili zilizopo hapa nchini ni kwa manufaa ya umma, hatukatai wananchi wakiwamo viongozi kufanya uwekezaji la hasha, tunachokataa ni janja janja kwenye mali za nchi.

Rais tafadhali sana, mchunguze mzee Kinana, tena mchunguze haswa. Ahsanteni.
Una imani na hili jangiliiiii na jjjjjizi!!!!
 
Nakumbuka maneno ya ROSTAM AZIZ....

"...siasa uchwara..."..

Akaacha utunzaji fedha wa CCM...[emoji1787][emoji1787]

Kujivua Gamba kukapelekea yale...

Komredi Kinana akaanza kuzunguka na komredi Nape....

[emoji1787][emoji1787]
Nape akajitaifishia land cruiser Jiwe akaikamata kupitia Bashiru
 
Huyo Kinana ndie humwambia Samia kata kushoto, geuka kulia, nenda mbele, subiri kidogo...

Ulichokifanya hapo ni sawa na kuliambia gari limshtaki dereva.
Mwenyekiti wetu mh.Rais SSH ana washauri wengi mno.......

Na wote humshauri naye ni msikivu kama lilivyo jina lake......
 
Wanasema kubaguana siyo, lakini hivi kinana ni kabila gani? ana uchungu kweli na mali za Tanganyika?
 
Back
Top Bottom