Maoni Binafsi: Sina imani na Mzee Kinana

Ukimtazama kwa jicho la tatu...He is a smart.......pengine jeshi lilimfunza vyema.
🤣🤣🤣Jinsi jeshi lilivyo halina tofauti na akili za raia walivyo hii inaitwa old version ,mawazo mfu ya mfenenge
 
Yaani Simba auwawe na kutumwa nje ktk parcel na asiwepo wa kuwajibika Kweli?

V. Kamata ni nani vile!!
 
Tukija kwenye mada, si mara moja wala mara 2 nikiwa na watu wa kuaminika na wenye heshima kubwa wanao simamia mali asili zetuhususa ni hifadhi, wakanijuza kuwa tunahujumiwa.

Ndiyo, tunahujumiwa. Ikumbukwe kuwa mali asili zilizopo hapa nchini ni kwa manufaa ya umma, hatukatai wananchi wakiwamo viongozi kufanya uwekezaji la hasha, tunachokataa ni janja janja kwenye mali za nchi.

Rais tafadhali sana, mchunguze mzee Kinana, tena mchunguze haswa. Ahsanteni.
Huyo anajulikana siku nyingi kuwa ni jangili mkubwa lakini hakuna wa kumgusa maana CCM wote ni majuzi mafisadi watupu, hakuna muadilifu hata mmoja
 
Tukija kwenye mada, si mara moja wala mara 2 nikiwa na watu wa kuaminika na wenye heshima kubwa wanao simamia mali asili zetuhususa ni hifadhi, wakanijuza kuwa tunahujumiwa.

Ndiyo, tunahujumiwa. Ikumbukwe kuwa mali asili zilizopo hapa nchini ni kwa manufaa ya umma, hatukatai wananchi wakiwamo viongozi kufanya uwekezaji la hasha, tunachokataa ni janja janja kwenye mali za nchi.

Rais tafadhali sana, mchunguze mzee Kinana, tena mchunguze haswa. Ahsanteni.
Kumwambia amchunguze Kinana ni swa na kumwambia ajichungeze yeye binafsi

Mwenye uwezo huo alikuwa hayati Magufuli pekee
 
Back
Top Bottom