Maoni Binafsi: Sina imani na Mzee Kinana

Aliacha vijana watatu au vibaka watatu?
 
Yani unataka tumbili amchunguze nyani kwamba amekwapua mahindi shambani 🤔🤔sahau kuhusu hilo, hiyo ni ndoto ya jinamizi linalo tisha Sana
 
Una imani na hili jangiliiiii na jjjjjizi!!!!
 
Ukimtazama kwa jicho la tatu...He is a smart.......pengine jeshi lilimfunza vyema.
 
Nakumbuka maneno ya ROSTAM AZIZ....

"...siasa uchwara..."..

Akaacha utunzaji fedha wa CCM...[emoji1787][emoji1787]

Kujivua Gamba kukapelekea yale...

Komredi Kinana akaanza kuzunguka na komredi Nape....

[emoji1787][emoji1787]
Nape akajitaifishia land cruiser Jiwe akaikamata kupitia Bashiru
 
Huyo Kinana ndie humwambia Samia kata kushoto, geuka kulia, nenda mbele, subiri kidogo...

Ulichokifanya hapo ni sawa na kuliambia gari limshtaki dereva.
Mwenyekiti wetu mh.Rais SSH ana washauri wengi mno.......

Na wote humshauri naye ni msikivu kama lilivyo jina lake......
 
Wanasema kubaguana siyo, lakini hivi kinana ni kabila gani? ana uchungu kweli na mali za Tanganyika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…