Maoni: Dkt. Batilda Buriani ameshushwa mno kuteuliwa kuwa Katibu Tawala

Maoni: Dkt. Batilda Buriani ameshushwa mno kuteuliwa kuwa Katibu Tawala

Akiona amedhalilishwa ana uhuru na haki ya kukataa huo uteuzi na kwenda kufanya shughuli zake zingine.

Lakini akikubali kuapishwa na kwenda kufanyakazi aliyopangiwa basi kwake siyo udhalilishaji labda kwako wewe mleta mada.
 
Dk. Batilda Buriani Alikuwa Balozi Kenya na Japan, Leo kateuliwa kuwa Katibu Tawala mkoa? Ni kudhalilishwa mno, ni MAWAZO yangu. Angepewa hata ukuu wa Mkoa

..mbona Rashidi Kawawa alishuka toka Waziri Mkuu mpaka kuwa Waziri asiye na wizara maalum.

..baada ya uhuru Nyerere alijiuzulu Uwaziri Mkuu na Mzee Kawawa akashika usukani wa nchi.

..Mzee Kawawa alishuka toka kuwa kiongozi mwenye walinzi na msafara, mpaka kuwa kiongozi wa kawaida ambaye gari yake inabidi isukumwe kwanza ndio iwake.

..Pia yupo Mzee Msuya ambaye alikuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Raisi baadae akashuka akawa Katibu wa Uchumi CCM wilaya ya Mwanga.
 
Kikubwa posho
Watu waendelee kula nyama wanyamaze
IMG_20210520_144434.jpg
 
..mbona Rashidi Kawawa alishuka toka Waziri Mkuu mpaka kuwa Waziri asiye na wizara maalum.

..kama utakumbuka baada ya uhuru Nyerere alijiuzulu Uwaziri Mkuu na Mzee Kawawa akashika usukani wa nchi.

..Mzee Kawawa alishuka toka kuwa kiongozi mwenye walinzi na msafara, mpaka kuwa kiongozi wa kawaida ambaye gari yake inabidi isukumwe kwanza ndio iwake.

..Pia yupo Mzee Msuya ambaye alikuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Raisi baadae akashuka akawa Katibu wa Uchumi CCM wilaya ya Mwanga.
Viongozi wakuu wa nchi toka uhuru:
1. Julius K. Nyerere 1961(Waziri Mkuu)
2. Rashid M.Kawawa (Waziri Mkuu) 1961-1962
3. Julius K Nyerere (Rais) (1962-1985)
4. Ali Hassan Mwinyi (1985-1995)
5.Benjamin W. Mkapa (1995-2005)
6. Jakaya M. Kikwete (2005-2015)
7. John P. Magufuli (2015-2021)
8. Samia S. Hassan (2021+...)

Historia ilitakiwa iandikwe hivi, kuna mahali tunapotosha na kupindisha.
 
..nashauri ufungue uzi maalum maana kuna watu hawajui ukweli huu.

..wengi hawafahamu kwamba Rashidi Mfaume Kawawa alikuwa Waziri Mkuu muda mfupi baada ya uhuru kwasababu Mwalimu Nyerere alijiuzulu nafasi hiyo.

Cc Companero, Shwari, Mohamed Said
 
Back
Top Bottom