Maoni: Dkt. Batilda Buriani ameshushwa mno kuteuliwa kuwa Katibu Tawala

Maoni: Dkt. Batilda Buriani ameshushwa mno kuteuliwa kuwa Katibu Tawala

Acha Batilda amalizie muda wake .....ale ale za mwisho umri umesonga
 
Uko sawa Mkuu, aliwahi kuwa balozi Japan na Kenya na bado ana hadhi yake kama Balozi.
Hoja yako ni dhaifu sana. Ni kweli huko nyuma alikuwa balozi Kenya na Japan. Lakini mwaka 2016 akatumbuliwa na Mwendazake na tangu muda huo akawa kijiweni. Sasa amepata uRAS unasema ameshushwa! Kutoka kijiweni hadi RAS si kushushwa bali ni kupandishwa. Fact!
 
Dkt. Batilda Buriani alikuwa Balozi Kenya na Japan, Leo kateuliwa kuwa Katibu Tawala mkoa!! Ni kudhalilishwa mno, ni mawazo yangu.

Angepewa hata ukuu wa Mkoa.
Kwa NJAA KALI aliyonayo Atadhani Amepata Promotion
 
Dkt. Batilda Buriani alikuwa Balozi Kenya na Japan, Leo kateuliwa kuwa Katibu Tawala mkoa!! Ni kudhalilishwa mno, ni mawazo yangu.

Angepewa hata ukuu wa Mkoa.
She never got to Japan. It was blocked by someone with real brain. Yeah I really don’t get it how all these oldies accepting low ministerial appointments. She was a Minister. It seems also the president has too many powers, this should have been done by Ummy. The president appoints everyone. Tea ladies will soon be appointed also and have to go to a swearing ceremony, possibly next destination is Zanzibar.
Panga pangua, what for? Looks she was never as VP consulted hence the never ending panga pangua. The revocation of appointments should not happen, doesn’t usalama vet these people.
 
Hoja yako ni dhaifu sana. Ni kweli huko nyuma alikuwa balozi Kenya na Japan. Lakini mwaka 2016 akatumbuliwa na Mwendazake na tangu muda huo akawa kijiweni. Sasa amepata uRAS unasema ameshushwa! Kutoka kijiweni hadi RAS si kushushwa bali ni kupandishwa. Fact!
Hakwenda Japan, JPM Alipiga stop hiyo. Was a Kikwete rubbish appointment.
 
Dkt. Batilda Buriani alikuwa Balozi Kenya na Japan, Leo kateuliwa kuwa Katibu Tawala mkoa!! Ni kudhalilishwa mno, ni mawazo yangu.

Angepewa hata ukuu wa Mkoa.
Akiwa nalozi alifanya nini haswa inayompa hadhi ya kuteuliwa mkuu wa mkoa
 
Safari hii kunogile...

Wanachama..wa kile chama ..cha blender..wote watapata vyeo...mashetani yashawekwa huru...

Vasco..kashika hatamu mume ya mama ni kuzuga tu.. ..walishaachana zamani..

Vilinge vyote..oyerr...yaani...

Mtalishwa kungu manga nyote..

Ukiona huelewi kaa kimya ujuwe sio lako hili...
 
Dkt. Batilda Buriani alikuwa Balozi Kenya na Japan, Leo kateuliwa kuwa Katibu Tawala mkoa!! Ni kudhalilishwa mno, ni mawazo yangu.

Angepewa hata ukuu wa Mkoa.
Huyu alikuwa na skendo ya kugawana magari ya msaada kwa serikali toka Japan, nashangaa wamemrudisha, maana ule ulikuwa wizi. Kuna watu hata wakifanya kosa gani bado CCM itawakumbatia, hata waliojaribu kuua.

Si muda mrefu mtasikia yule aliyetuhumiwa kunyang'anya watu haki ya kuishi kawa balozi
 
Wewe ndio unajidhalilisha kutoka kupost mada zenye manufaa kwa jamii siku zilizopita na kuja na mada za umbea huku kwenye forum
 
Back
Top Bottom