Gerald .M Magembe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,496
- 1,800
Wadhifa na malipo ya RAS ni sawa sawa na Katibu Mkuu wa Wizara, marupu rupu ndio inakuwa tofauti, waziri anakuwa na uwanja mpana wa kutengrneza marupurupu kuliko RAS.Dkt. Batilda Buriani alikuwa Balozi Kenya na Japan, Leo kateuliwa kuwa Katibu Tawala mkoa!! Ni kudhalilishwa mno, ni mawazo yangu.
Angepewa hata ukuu wa Mkoa.