MTV MBONGO
JF-Expert Member
- Feb 18, 2016
- 1,281
- 1,251
Dk. Batilda Buriani Alikuwa Balozi Kenya na Japan, Leo kateuliwa kuwa Katibu Tawala mkoa? Ni kudhalilishwa mno, ni MAWAZO yangu. Angepewa hata ukuu wa Mkoa
hawezi kusema ila inamtendaMbona Yeye hajaona kama amedhalilishwa?
Ukiona hivyo ujue kashindwa Kukaa nyumbani.
Na alishawahi kuwa waziri na mkuu wa mkoa...Uko sawa Mkuu, aliwahi kuwa balozi Japan na Kenya na bado ana hadhi yake kama Balozi.
Viongozi wakuu wa nchi toka uhuru:..mbona Rashidi Kawawa alishuka toka Waziri Mkuu mpaka kuwa Waziri asiye na wizara maalum.
..kama utakumbuka baada ya uhuru Nyerere alijiuzulu Uwaziri Mkuu na Mzee Kawawa akashika usukani wa nchi.
..Mzee Kawawa alishuka toka kuwa kiongozi mwenye walinzi na msafara, mpaka kuwa kiongozi wa kawaida ambaye gari yake inabidi isukumwe kwanza ndio iwake.
..Pia yupo Mzee Msuya ambaye alikuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Raisi baadae akashuka akawa Katibu wa Uchumi CCM wilaya ya Mwanga.
Kijiweni kugumu mshauri asuse basiDk. Batilda Buriani Alikuwa Balozi Kenya na Japan, Leo kateuliwa kuwa Katibu Tawala mkoa? Ni kudhalilishwa mno, ni MAWAZO yangu. Angepewa hata ukuu wa Mkoa
Viongozi wakuu wa nchi toka uhuru:
1. Julius K. Nyerere 1961(Waziri Mkuu)
2. Rashid M.Kawawa (Waziri Mkuu) 1961-1962
3. Julius K Nyerere (Rais) (1962-1985)
4. Ali Hassan Mwinyi (1985-1995)
5.Benjamin W. Mkapa (1995-2005)
6. Jakaya M. Kikwete (2005-2015)
7. John P. Magufuli (2015-2021)
8. Samia S. Hassan (2021+...)
Historia ilitakiwa iandikwe hivi, kuna mahali tunapotosha na kupindisha.