- Thread starter
- #21
Afadhali uchaguzi usifanyike ikiwa hatutapata Tume huru ya Uchaguzi.Ikitupendeza uchaguzi ufanywe hata October 2026,kwa kuundwa serikali ya mpito chini ya Rais huyu huyu,ili suala la KATIBA MPYA ILIYO BORA na TUME HURU ya uchaguzi vipatikane..ila kufanya uchaguzi kwa Katiba hii KUU KUU na tume hii MBOFU MBOFU,itakuwa ni sawa na kupaka Upepo RANGI...wakati wa KATIBA MPYA iliyobora ni SASA
Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi kwanza, uchaguzi baadae.