Muhumba wa Mukinyaa
JF-Expert Member
- Nov 12, 2022
- 683
- 1,251
Naona unachanganya mambo, hapa mimi simuongelei Warioba kama mtu, naiongelea Kamati ya Jaji wa Warioba ilioundwa kwa mujibu wa Sheria, kukusanya na kuratibu maoni kwa ajili ya kuunda Katiba Mpya.sasa kama warioba alimaliza mbona ukakawa walitoka kwa bunge na watokomea kusikojulikana?
2026 hatutamjadili warioba, tutajadiliana kuunda katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
Na asitokee mtu anaanza kutengeneza ground za kususia mchakato kwa kujificha kwa, sijiu warioba alifanya nini au alisema nini.
Katiba ni ya wananchi sio warioba.
Yeye atoe maoni na atulie na kuwapa nafasi na wengine watoe maoni yao pia.
Hayupo mwenye maoni bora zaidi ya mwingine. Mama Tanzania ndio muhimu zaidi.
Kamati hii iliundwa na wajumbe toka vyama na makundi mbalimbali yaliyopo nchini..Baadhi ya Wajumbe waliotoka chama tawala CCM, ni;
-Dr Salimu Hamed Salim
-Jaji Mkuu Mstaafu Marehemu Augustino Ramadhani
-Prof Kabudi
-Humphrey Polepole et al(kutaja wachache)
Hakika tume hii ilifanya kazi iliyotukuka kwa kukusanya na kuratibu kwa uhodari mkubwa huku wakiongozwa na maslahi mapana ya mama Tanzania..
Kama kulikuwa kunasehemu CCM hawakuelewa,wangewaita wajumbe wao ili kuwapa SHULE maana wajumbe hawa waliifanya kazi hii kwa uWELEDI mkubwa
-Kuhusu rasimu ya Mh Sitta,rasimu hii ilikuwa na nio OVU,ilibadili mambo mengi yaliyomema na ndio SABABU UKAWA walisusia.
Hivyo basi Katiba Mpya na iliyobora iundwe sasa kwa kuwa tayari Maoni ya Watanzania wote yalishakusanya,ingawa kunaweza kukawa na Maboresho kidogo..