Katika register ya CHADEMA hakuna mwanachama anaitwa Beberu!!
Huyo atakuwa kwenye register kuu hii:
Watambue Wanachama wa Vyama Mitandaoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika register ya CHADEMA hakuna mwanachama anaitwa Beberu!!
Nikwambie yafuatayo,I once again confirm to you without fear of contradiction, uchaguzi unafanyika 2025 bila Katiba mpya na kwa Amani na utulivu haijapata kutokea katika historia ya Tanzania...
Haya ni mambo ya kawaida kutofautina katika demokrasi ya vyama vingi. Mimi nasema tume ni huru wewe unasema siyo huru. Wewe unataka serkali 3 mimi nataka 2. Kwa nini yasiingizwe kwenye Ilani watu wachague?Salaam, shalom.
Baada ya kumsikiliza Kwa makini Mzee WARIOBA akihojiwa katika kipindi Cha Dakika 45 kituo Cha ITV, Kuna mambo nimeyatambua Mzee anajaribu Kutoa angalizo na umuhimu wa Serikali kutathmini kilichojiri 2020 Ili kuepuka KURUDIA changamoto zile zile.
Mzee Warioba amejaribu kuongea jambo zito Kwa Ulimi wa BUSARA kubwa sana kuisaidia Serikali na chama chake kuwa makini na uchaguzi ujao ili jambo muhimu la Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi lizingatiwe kabla ya kuingia uchaguzi wowote ujao.
TATHMINI HIYO ILENGE KUJUA YAFUATAYO.
1. NINI HASA KILITOKEA 2020.
Kuhusu HOJA hii, ni Rahisi kupata majibu sababu zipo hatua kadhaa zimefanyika kujaribu kuondoa sintofahamu Ile ,japo hapakuwa na Nia ya dhati.
2. FAIDA ZA KUINGIA UCHAGUZI 2024/2025 BILA TUME HURU YA UCHAGUZI NA KATIBA MPYA.
Ikiwa zipo faida, naamini zitakuwa chache sana Hasa Kwa wananchi japo UKWELI ni kuwa Kila jambo Lina pande mbili.
3. HASARA ZA KUINGIA UCHAGUZI 2024/2025 BILA TUME HURU YA UCHAGUZI NA KATIBA MPYA.
HASARA Kwa nionavyo Mimi, ni nyingi kuliko faida.
- KISIASA
Imani ya wananchi kushiriki uchaguzi Iko chini sana, tumeona mwitikio wa wananchi kushiriki uchaguzi Ukiwa chini sana, inahitajika TATHMINI ya kina nini kifanyike kuleta ongezeko la wananchi kuhusu kushiriki shughuli za kisiasa.
Kasoro na Matukio ya kura fake zilizoripotiwa Bado limeweka Imani ya wananchi kushiriki uchaguzi kuwa chini sana.
- KIUCHUMI
Uchaguzi wa HAKI, una mchango mkubwa sana Kwa wananchi katika kuinua Uchumi,
Ikiwa yaliyojiri 2020 yatajirudia, tutegemee kuona Uchumi ukidorora zaidi.
- KIJAMII
Muungano na ushirikiano wa wananchi ndani ya JAMII ulitatatizika sana Kwa yaliyojiri 2020, hivyo kuingia tena uchaguzi wa 2024/2025 kama vipofu Si sawa.
- KIUSALAMA
Si sawa kuwekeza katika kununua silaha na mabomu ya machozi nk nk nk, kuminya DEMOKRASIA.
4. ZIPI ZITAKUWA FAIDA ZA KUSOGEZA MBELE UCHAGUZI WA MITAA 2024?
Iwapo uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliopangwa kufanyika 2024 utasogezwa mbele, tutafanikiwa kukata cost ya Uchaguzi Kwa 50% sababu uchaguzi utakuwa mmoja tu 2025 , unachagua mkt, diwani, mbunge Hadi Rais.
HITIMISHO.
Ni muhimu kuhakikisha changamoto zilizojitokeza 2020 zikatatuliwa tukaingia tukiwa na Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi Ili pasiwepo kitisho kikubwa Cha USALAMA, maana uchaguzi katika Nchi nyingi imekuwa chanzo Cha kutetereka Kwa USALAMA na Amani.
NB: Wazee wa Aina ya Mzee Warioba ni hazina ya Taifa letu. Kuwapuuza ni kujichimbia mashimo ambayo hatokuwepo Jirani wa kutusaidia ikiwa tutajitumbukiza.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA [emoji1241]
Amen.
Yaingizwe kwenye Ilani ipi Ili tuchague?Haya ni mambo ya kawaida kutofautina katika demokrasi ya vyama vingi. Mimi nasema tume ni huru wewe unasema siyo huru. Wewe unataka serkali 3 mimi nataka 2. Kwa nini yasiingizwe kwenye Ilani watu wachague?
Ww utakuwa ni mzee lazima, wazee ndio huwa na vitisho hivi vya kishamba.Shiriki Maandamano ung'olewe meno kisha upelekwe kulazwa, ili kusudi ukajionee huduma muhimu za meno zinavyotolewa kwa umahiri na vifaa vya kisasa hasa utakapokua umelazwa kwa ajili ya operation ya kung'oa meno yote ya mbele yaliyopata rapsha kwenye maandamano.....
Wengine tulishavuka viwango wa kutishwa.Shiriki Maandamano ung'olewe meno kisha upelekwe kulazwa, ili kusudi ukajionee huduma muhimu za meno zinavyotolewa kwa umahiri na vifaa vya kisasa hasa utakapokua umelazwa kwa ajili ya operation ya kung'oa meno yote ya mbele yaliyopata rapsha kwenye maandamano.....
Unamaanisha iitishwe kura ya maoni juu ya wanaotaka Uchaguzi BILA Tume huru ya Uchaguzi na KATIBA VS Wanaotaka Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi na KATIBA mpya KABLA ya Uchaguzi mkuu?Haya ni mambo ya kawaida kutofautina katika demokrasi ya vyama vingi. Mimi nasema tume ni huru wewe unasema siyo huru. Wewe unataka serkali 3 mimi nataka 2. Kwa nini yasiingizwe kwenye Ilani watu wachague?
Salaam, shalom.
Baada ya kumsikiliza Kwa makini Mzee WARIOBA akihojiwa katika kipindi Cha Dakika 45 kituo Cha ITV, Kuna mambo nimeyatambua Mzee anajaribu Kutoa angalizo na umuhimu wa Serikali kutathmini kilichojiri 2020 Ili kuepuka KURUDIA changamoto zile zile.
Mzee Warioba amejaribu kuongea jambo zito Kwa Ulimi wa BUSARA kubwa sana kuisaidia Serikali na chama chake kuwa makini na uchaguzi ujao ili jambo muhimu la Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi lizingatiwe kabla ya kuingia uchaguzi wowote ujao.
TATHMINI HIYO ILENGE KUJUA YAFUATAYO.
1. NINI HASA KILITOKEA 2020.
Kuhusu HOJA hii, ni Rahisi kupata majibu sababu zipo hatua kadhaa zimefanyika kujaribu kuondoa sintofahamu Ile ,japo hapakuwa na Nia ya dhati.
2. FAIDA ZA KUINGIA UCHAGUZI 2024/2025 BILA TUME HURU YA UCHAGUZI NA KATIBA MPYA.
Ikiwa zipo faida, naamini zitakuwa chache sana Hasa Kwa wananchi japo UKWELI ni kuwa Kila jambo Lina pande mbili.
3. HASARA ZA KUINGIA UCHAGUZI 2024/2025 BILA TUME HURU YA UCHAGUZI NA KATIBA MPYA.
HASARA Kwa nionavyo Mimi, ni nyingi kuliko faida.
- KISIASA
Imani ya wananchi kushiriki uchaguzi Iko chini sana, tumeona mwitikio wa wananchi kushiriki uchaguzi Ukiwa chini sana, inahitajika TATHMINI ya kina nini kifanyike kuleta ongezeko la wananchi kuhusu kushiriki shughuli za kisiasa.
Kasoro na Matukio ya kura fake zilizoripotiwa Bado limeweka Imani ya wananchi kushiriki uchaguzi kuwa chini sana.
- KIUCHUMI
Uchaguzi wa HAKI, una mchango mkubwa sana Kwa wananchi katika kuinua Uchumi,
Ikiwa yaliyojiri 2020 yatajirudia, tutegemee kuona Uchumi ukidorora zaidi.
- KIJAMII
Muungano na ushirikiano wa wananchi ndani ya JAMII ulitatatizika sana Kwa yaliyojiri 2020, hivyo kuingia tena uchaguzi wa 2024/2025 kama vipofu Si sawa.
- KIUSALAMA
Si sawa kuwekeza katika kununua silaha na mabomu ya machozi nk nk nk, kuminya DEMOKRASIA.
4. ZIPI ZITAKUWA FAIDA ZA KUSOGEZA MBELE UCHAGUZI WA MITAA 2024?
Iwapo uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliopangwa kufanyika 2024 utasogezwa mbele, tutafanikiwa kukata cost ya Uchaguzi Kwa 50% sababu uchaguzi utakuwa mmoja tu 2025 , unachagua mkt, diwani, mbunge Hadi Rais.
HITIMISHO.
Ni muhimu kuhakikisha changamoto zilizojitokeza 2020 zikatatuliwa tukaingia tukiwa na Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi Ili pasiwepo kitisho kikubwa Cha USALAMA, maana uchaguzi katika Nchi nyingi imekuwa chanzo Cha kutetereka Kwa USALAMA na Amani.
NB: Wazee wa Aina ya Mzee Warioba ni hazina ya Taifa letu. Kuwapuuza ni kujichimbia mashimo ambayo hatokuwepo Jirani wa kutusaidia ikiwa tutajitumbukiza.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Amen.
Ndio lengo Hasa.Mkuu ni muhimu sana kutambua CCM hawataki iwepo katiba mpya wala tume huru kwa malengo yaliyo wazi.
Kumtegemea CCM anaweza akatufanyia wepesi au huruma yoyote achilia mbali haki, ni muhimu mno kujua hilo halipo.
Hivyo kama hatutasimama wenyewe imara kupambana kwa nguvu zetu wenyewe, basi na tusahau kupatikana kwa katiba tinayoihitaji, na hata milele.
Ni lazima tuuvae ujasili Sasa tupambane. Haipo namna nyingine:
1. "Lissu: Watanzania si waoga, ila wenye kutunyooshea kidole"
2. "Lissu: Tukubali kukosolewa, tuukatae u CCM
3. "Lissu: Hakuna Katiba Mpya, hakuna uchaguzi
Ni kuwa, kwa bahati mbaya mno kuna tetesi zenye ka harufu ka kukwamishana na hata kutaka kuenguana ikiwezekana ndani ya CDM.
Huyu mwamba wanamwona kizingiti kwa maslahi fulani binafsi japo wakijua ni asset kwenye mapambano na kwa wananchi.
Mzani unalalia kwenye maslahi binafsi:
Mchongo ni huu:
Ajabu ni kuwa, kuna wanaomchukia mno Kila wauonapo mchango wa mwamba kwenye ukombozi usiopingika, ukitambulika kokote na hasa inapokuwa dhahiri anastahili kupewa maua yake.
Humo wamo kutokea CCM, CHADEMA na hata wasomi (wenziwe).
CCM - Hawa wanajua huyu anawapalilia kiama chao kwa dhahiri iliyo karibu mno.
CHADEMA - Hawa ni wale wa Baniani mbaya ila kiatu chake dawa.
Wasomi - husuda za kisomi na chuki za mafanikio mtambuka.
Ni lazima tupige kelele.
Katiba mpya ilikuwapo sasa kwa kuunganisha nguvu zetu tu hapo 9/11.
Hivi kweli, ni kwa sababu ya ubinafsi tu?
Kuililia CCM kufanya lolote la haki kwa maneno matupu ni dua la kuku.
Hatima yote tuko nayo mikononi mwetu. Ni kusuka au kunyoa.
Ndio lengo Hasa.
Wananchi wenzetu waone umuhimu wa Tume huru na Katiba mpya kabla ya Uchaguzi wowote 2024&2025.
Baada ya hapo, tuandamane na MASHUJAA wetu, Mwabukusi, Slaa, Mdude, Madeleka , Lissu,Mwamakula nk nk.
Hiyo ndo njia pekee ya kuamsha umma kupinga Hila za kufanya uchaguzi wa maigizo.
Pamoja sana ndugu Brazaj.🙏
Uko sawa,Tutoke kwenye maneno, wanatuita vyama vya taarifa.
Hilo jina wanapaswa kulifuta wao siyo sisi.
Uko sawa,
Na Ukombozi wa Nchi huhitaji watu Wachache wenye kuongoza njia, wengine watafuata.
Aluta continua.
Acha kuchekesha...Wakati wa bajeti ya 2024-2025 jambo hilo litawekwa mezani, kutathminiwa kwa kina, kujadiliwa, kupendekeza marekebisho ya kisheria, sera na utaratibu wa uchaguzi ili kurekebisha kasoro mbalimbali zilizojitokeza chaguzi za huko kale na hatimae kupitisha gharama za jumla za uchaguzi wenyewe, ili uwe bora zaidi, huru zaidi, wa haki zaidi na wa uwazi zaidi ya chaguzi zozote zilizowahi kufanyika tanzania.....
CCCm wakisikia neno MAANDAMANO ya Amani, akilini mwao huwajia picha ya neno MAPINDUZI!!
Kuwaza kuwa tutapata mabadiliko kupitia uchaguzi, hilo ni kosa kubwa. Hakuna mabadiliko yatakayopatikana kupitia sanduku la kura.Unaonaje tukiacha kufanya uchaguzi Ili kutowaneemesha wanasiasa Ili pesa hizo zijengwe madaraja?
Tatizo Si upatikanaji wa pesa Kwa ajili ya kujenga miundombinu,
Tatizo ni Serikali dhalimu ya CCM, haitaki kupunguza matumizi mabaya ya pesa za umma Ili kumeed demand za wananchi.
Kwa Mfano, kusogeza mbele uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliopangwa kufanyika 2024, ufanyike pamoja na Uchaguzi mkuu isimamiwe na Tume huru ya Uchaguzi, gharama ingepungua Kwa 50%.
CCM must go.
Ikiwa hayo ndo mawazo Yako,Kuwaza kuwa tutapata mabadiliko kupitia uchaguzi, hilo ni kosa kubwa. Hakuna mabadiliko yatakayopatikana kupitia sanduku la kura.
Watawala wanawaza kujiongezea posho na mishahara. Jana wamepitisha muswada wenza wa viongozi nao wawe wanalipwa mishahara pasipo kufanya kazi na pia wawe wanalipwa mafao baada ya kustaafu. Hayo ni mabilioni aisee
Kwa kuwa hatuna mbadala wa CCM, na hatuwezi kuupata kupitia vyama vya siasa na siasa kwa ujumla, serikali ipeleke fedha kwenye miradi tu
zitaondolewa traaratriiiibuu sio kama wanavyotaka wengine bali wanavitraakaa ccm wenyeweAcha kuchekesha...
ccm inaishi kwa sababu ya hizo kasoro sasa wewe unataka waziondoe??🤣😂🤣😂
Afaddhalli hata wewe mwenye mawazo ya kipekee na tofauti kabisa na hata CCM wenyewe unaweza jiamulia cha kufanya mwenye kwa bidii na ukatoboa vilivyo....Kuwaza kuwa tutapata mabadiliko kupitia uchaguzi, hilo ni kosa kubwa. Hakuna mabadiliko yatakayopatikana kupitia sanduku la kura.
Watawala wanawaza kujiongezea posho na mishahara. Jana wamepitisha muswada wenza wa viongozi nao wawe wanalipwa mishahara pasipo kufanya kazi na pia wawe wanalipwa mafao baada ya kustaafu. Hayo ni mabilioni aisee
Kwa kuwa hatuna mbadala wa CCM, na hatuwezi kuupata kupitia vyama vya siasa na siasa kwa ujumla, serikali ipeleke fedha kwenye miradi tu
ccm ina elite capture syndromes... Kuna familia zinakaa na kuamua nini kifanyike na nini kisifanyike!zitaondolewa traaratriiiibuu sio kama wanavyotaka wengine bali wanavitraakaa ccm wenyewe
Hakuna asiyejua kilichotokea hata rais anajua ndo maana hakutafanyika tathmini.Kwamba tupuuzie kilichotokea 2020?