Maoni kwa Masanja Mkandamizaji

Mungu anisamehe ila sijawahi muamini Masanja kama mchungaji
Ila labda nna mapepo,
Hauko peke yako! Tuko wengi. Na kama bado una wasiwasi, basi jaribu kumlinganisha huyo Masanja na mtu kama Christopher Mwakasege! Ndipo utakapo kuja kugundua mmoja ni Comedian tu aliyetumia vizuri fursa, na mwingine ni Mtumishi halisi wa Mungu.
 
Umenikumbusha mke wa muhubiri mashuhuri Sedekia aliolewa na mwanakwaya baada ya Sedekia kufariki.
 
Una uhakika kama hilo Kanisa lina utakatifu wa kuitwa Kanisa?
Mambo ya ajabu kabisa unatangaza dhambi uliyotenda kanisani unaona upo sawa na kuweza kumshauri mwingine...yaani kufanya kosa katika imani unaona sawa kabisa..
 
Hiyo #3 ndo umeniacha hoi.
Yaani kukaribishwa kidogo tu na kuambiwa uwe free ukala kondoo
 


Acheni Jamani, Mtavunja Unyumba Wa Watu

 
Nimejithidi kutafsiri hii picha nimeshindwa mkuu....msaada tafadhali!
Feel free kuichukulia utakavyoona. Tangu siku ile pale kanisani nilipoona yule demu anamakalio kama mtungi anaimba kwaya huku akinesa na Masanja kumsifia madhabahuni mpaka akatrend. Nilisema hakuna kanisa pale. Ni kijiwe cha wahuni tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…