Maoni kwa Masanja Mkandamizaji

Maoni kwa Masanja Mkandamizaji

Mungu anisamehe ila sijawahi muamini Masanja kama mchungaji
Ila labda nna mapepo,
Hauko peke yako! Tuko wengi. Na kama bado una wasiwasi, basi jaribu kumlinganisha huyo Masanja na mtu kama Christopher Mwakasege! Ndipo utakapo kuja kugundua mmoja ni Comedian tu aliyetumia vizuri fursa, na mwingine ni Mtumishi halisi wa Mungu.
 
Kuna siku baada ya ibada nilikushauri ubadili jina la kanisa maana jina lasasa lina shida na nikakwambia maneno yanaumba ila ukaniambia jina liko sawasawa na huna mpango wa kubadili. Tangu sikuile sikuja wala hatujaonana.

Iko hivi, wewe mwenyewe umewaambia waumini wako (pamoja na katibu) kuwa wa feel free yaani wajisikie huru na hujasema wajisikie huru kwenye nini, matokeo yake watu wakajisikia huru kufanya mambo haya;

1. Kula vitu vitakatifu.
2. Kuvaa kama wanavyo jisikia.
3. Kuzini hovyo, mimi pia nilizini na mtu hapo.
5. Katibu akapita na watu fulani fulani hapo.

Nakuhakikishia usipo badili hilo jina utachapiwa kila kitu.
Umenikumbusha mke wa muhubiri mashuhuri Sedekia aliolewa na mwanakwaya baada ya Sedekia kufariki.
 
Una uhakika kama hilo Kanisa lina utakatifu wa kuitwa Kanisa?
Mambo ya ajabu kabisa unatangaza dhambi uliyotenda kanisani unaona upo sawa na kuweza kumshauri mwingine...yaani kufanya kosa katika imani unaona sawa kabisa..
 
Hiyo #3 ndo umeniacha hoi.
Yaani kukaribishwa kidogo tu na kuambiwa uwe free ukala kondoo
 


Acheni Jamani, Mtavunja Unyumba Wa Watu

 
Nimejithidi kutafsiri hii picha nimeshindwa mkuu....msaada tafadhali!
Feel free kuichukulia utakavyoona. Tangu siku ile pale kanisani nilipoona yule demu anamakalio kama mtungi anaimba kwaya huku akinesa na Masanja kumsifia madhabahuni mpaka akatrend. Nilisema hakuna kanisa pale. Ni kijiwe cha wahuni tu.
 
Back
Top Bottom