Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Hapo sasa wanaume ndo watajinyonga weeeeHahahaha wanawake waruhusiwe kuwa na mume zaidi ya mmoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo sasa wanaume ndo watajinyonga weeeeHahahaha wanawake waruhusiwe kuwa na mume zaidi ya mmoja
Masanja anakula kistarabu na katibu anakula ovyo tena kila mahali😂😂Nimejithidi kutafsiri hii picha nimeshindwa mkuu....msaada tafadhali!
Asante kipe...iSina Maoni[emoji2]
Afrika kusini wako kwa mchakatoHapo sasa wanaume ndo watajinyonga weeee
Hauko peke yako! Tuko wengi. Na kama bado una wasiwasi, basi jaribu kumlinganisha huyo Masanja na mtu kama Christopher Mwakasege! Ndipo utakapo kuja kugundua mmoja ni Comedian tu aliyetumia vizuri fursa, na mwingine ni Mtumishi halisi wa Mungu.Mungu anisamehe ila sijawahi muamini Masanja kama mchungaji
Ila labda nna mapepo,
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Asante kipe...i
Ni kweli chief
Jina lina tabia ya kufuata nuksi, balaa na mikosi pia
Mhh nyie huku mtawezaa?Afrika kusini wako kwa mchakato
Umenikumbusha mke wa muhubiri mashuhuri Sedekia aliolewa na mwanakwaya baada ya Sedekia kufariki.Kuna siku baada ya ibada nilikushauri ubadili jina la kanisa maana jina lasasa lina shida na nikakwambia maneno yanaumba ila ukaniambia jina liko sawasawa na huna mpango wa kubadili. Tangu sikuile sikuja wala hatujaonana.
Iko hivi, wewe mwenyewe umewaambia waumini wako (pamoja na katibu) kuwa wa feel free yaani wajisikie huru na hujasema wajisikie huru kwenye nini, matokeo yake watu wakajisikia huru kufanya mambo haya;
1. Kula vitu vitakatifu.
2. Kuvaa kama wanavyo jisikia.
3. Kuzini hovyo, mimi pia nilizini na mtu hapo.
5. Katibu akapita na watu fulani fulani hapo.
Nakuhakikishia usipo badili hilo jina utachapiwa kila kitu.
Mambo ya ajabu kabisa unatangaza dhambi uliyotenda kanisani unaona upo sawa na kuweza kumshauri mwingine...yaani kufanya kosa katika imani unaona sawa kabisa..
Nzuri sana kipe...[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Salamu zako Kipe....
Woi watapambana na hali zao mimi huwa sipiganii huo ujinga...akizingua aende tuMhh nyie huku mtawezaa?
🤣😂😄😀😆😁😃😅Mungu anisamehe ila sijawahi muamini Masanja kama mchungaji
Ila labda nna mapepo,
Kabisa kisa cha kufa na stress?Woi watapambana na hali zao mimi huwa sipiganii huo ujinga...akizingua aende tu
Kabisa kisa cha kufa na stress?
Feel free kuichukulia utakavyoona. Tangu siku ile pale kanisani nilipoona yule demu anamakalio kama mtungi anaimba kwaya huku akinesa na Masanja kumsifia madhabahuni mpaka akatrend. Nilisema hakuna kanisa pale. Ni kijiwe cha wahuni tu.Nimejithidi kutafsiri hii picha nimeshindwa mkuu....msaada tafadhali!