Hakuna wa kumkomboa mwalimu isipokuwa wao wenyewe, walimu wanaishi maisha ya hovyo punda akasome lakini bado tuu wapo kwenye kazi.

Mimi nawashauri waache kwanza kazi watafute na kupigania ukombozi wa kifkra ili hii kada angalau ifikie heshima hata ya mlinzi WA makaburi ya kisutu.

Mwalimu ukimkoromea tu anaogopa mpaka anajamba, Nina imani hata ukimtisha akupe pesa kama hataki unamfukuza kazi hiyo pesa atatoa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ualimu ni utumwa

Ualimu ni umaskini

Ualimu ni kazi ya walio choka kifikra

Asilimia 78 ya walimu ni maskini wa kutupwa na hawaeleweki Wana njaa mnoo
 
Nimetoka uraiani ambako nilikuwa na uwezo wa kutengeneza net profit ya milion1.2 kwa mwez ambayo nimekuwa nikiingiza kwa zaidi ya miaka3 mfululizo na biashara yangu bado inauhitaji mkubwa sana, nikaja kwenye ualimu kwa ajili ya mshahara WA lak5 [emoji16][emoji16]
Nimejipa challenge ya miaka mitano kufanya Hii Kazi , kwa sasa Nina miezi 6 kazin tangu niajiriwe , Nina target ndan ya miaka mitano niachane na mambo ya utumish wa serikal nikaendeleze Nguvu kwenye ujasiriamali kama tu nitabakia kuwa Mwalimu WA kuingia darasani kufundisha, [emoji120][emoji120]
Kifupi Hii Kazi sio hasa ukiwa unafanya kijijn
 
Ualimu ukiwa kijijini umeuwa ndoto zako
 
Omba uhamisho kijana
 
sio ualimu tu

uwe shabiki wa simba

uwe sgabiki wa man utd

asikwambie mtu ualimu cha mttoto
 
Umeongea ukweli mno mkuu. Wewe fikiria hakuna hata mtumishi mmoja aliyewahi kuomba recategorization kuwa mwaliimu. Ualimu hamna kitu aisee!!
 
Mpwayungu ana hoja asikilizwe.

Ila walimu wakuu si wanalamba Mia mbili unusu kama pesa ya majukumu?

Teaching allowance ipo njiani

Baadhi wa vijijini watalamba nyingine tena Hardship allowance
 
Wafungwa ni wa Magereza

Watuhumiwa waliopo jera sio Gerezani ndio wa polisi.

Kama ule msemo wa kiingereza usemao kabla ya Gereza Kuna Jera
 
Uzi ufungwe

Hoja yako isikilizwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…