Maoni, Mapendekezo na Ushauri kwa Walimu
Mwl hafurahii maisha ktk haya.
1.hali vizuri, wengi Wana malnutrition
2.hawavai vizuri, wengi nanavaa second hand clothes grade c sio A
3.usafiri wanatumia miguu, Kuna kipindi nlikua geita napiga kazi kwa roli moja ya kumbeba maknikia tunatoa shenda na mwabomba via masumbwe mpaka ushirombo. Walimu wakitupiga mkono tunakalisha juu ya kifusi nyuma tunabwaga mmoja mmoja njiani
4.hawali Bata classic. Starehe zao ni vilabu vya pombe chafu chafu na akionekana baa ni Mara moja sana tena kwa offer
5.hawana furaha na ndoa zao. Wengi hawaoa piss Kali Wana wanawake ilimradi tu anakojoa amechichumaa maana wengi wanawapata vilabu vya pombe. Ni ngumu kumkuta ticha wa kike kaolewa na mwl now days
6.biashara zao nazo ni za kuunga unga tu utaikuta mwl anafuga kuku hata 30 hawafiki na hawana matunzo wanaugua ugua na afya hawana Kama mwl mwenyewe
Oya [emoji23]
 
Hakika mkuu Kuna mwalimu nlikua nae chalinze maeneo ya lugoba tulikua tunakunywa nae mabuyu, gongo na mnazi kachoka huyo Kama Teja. Ni mtu mzima kdogo lakni anaonekana Kama mzeee. Kuna muda anakosa hata mia mbili ya kununua buyu(wanzuki) inabidi anitanie Mimi mpaka nicheke ndo nimchukulie matano ya buku ndo anywe. Kiufupi mwl ana life ngumi kuliko hata mlinzi wa kampuni binafsi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mwalimu gani anywe bilima kwa mshahara upi? Ukiona mwalimu kashikilia chupa kubwa ya maji ujue katoka semina, 90% ya waalimu wana mikopo ya kauusha damu au ya benki mwalimu mpaka anasitaafu hajawahi kupokea mshahara wake kamiri.........
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie.
 
Dunia ya sasa tofauti na zamani wenye pesa kama sisi ni kubadilisha location tu, Jumatatu mpaka Jumatatu ukitoka kitambaa Cheupe Jumanne tunaenda Small Planet, Jumatano Wavuvi camp, Alhamis Liquid bar, Ijumaa tunaruka Maasai, Jumamosi tunarudi Kisuma afu Jumapili tunapaa Beach Kidimbwi kutumia pesa

Lakin walimu wanabaki kunywa balimi na double Kiki tu, ananuka vumbi la chaki suruali imepauka shati halijulikani ni jekundu au lapink. Wapo wapo tu kazi yao kukopa sukari na dagaa kwenye viduka vya mangi. Utakuta wamevaa viatu vya four angle vya buku tatu tatu. Hawana jipya hawa sijui wana faida gani
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Inaonyesha ulipata zile Tsh 50m ulizosema ukipewa unatoa kinyeo. Au uliolewa kabisa?
 
Hakuna watu wa ovyo kama walevi. Maisha ya kushinda unasikiliza miziki ya kilevi na kishetani ndo anaona ni maisha. Akiwa anatazama matako ya akina dada na miguu Yao anaona amefika kabisaa humwambii kitu. Sasa omba apate pesa ya kununua kigari kitachomeezesha kwenda vilabuni ndo najiona maisha ameyapatia. Na mitumbo Yao mikubwa, sura zimevimba, hata nguvu za kiume hayana. Yalichobakiza ni ushabiki wa mpira na kubet na kuunguza maini na mipombe na sura kuzeeka.

Mijitu Haina Cha faida mbali na kuhonga pesa. Haina chochote Cha kuigwa na jamii kilicho positive.

Watu wako busy ku train watoto mashukeni na kuwafunza maadili unawakebehi. Hao ndo wanaotengeneza professional zote unazoziona zenye tija kwenye jamii kama madaktari, wanasayansi, wataalamu wa mifumo ya maji na miundo mbinu.
 
Ukweli ndio huo, mshahara wanaopewa hawa viumbe Kwa kweli huwa nawaza wanaishije Kwa sababu hata ukisema ujibane vipi hautoshi. Ajabu hizi njemba zinadunda tu khaaa [emoji28][emoji28][emoji28]

Mwalimu tangu aanze kazi mshahara haijawahi kukutana kwenye account, ukitoka tar 22 mpe siku tano mbele baada ya hapo anaanza kuishi Kwa kuunga Unga

Maisha Yao niyamajuto, kuperekeshwa, kudharauliwa na kupuuzwa kama nguruwe. Sasa hawa ni binadamu au mizoga [emoji1787][emoji1787][emoji1787], yani jamii nzima inawaona ni viumbe wa ajabu sana unaweza vp kuishi Kwa mshahara wa barmaid na ukadunda.

Walimu wanatia aibu vibaya mno, sijui tuwaweke kwenye kundi gani maana hata tukiwagroup kwenye kundi la wanyamapori naona bado tunawapendelea tu hawana sifa hizo, wao wamezidi
 
Mshahara unatosha sana, ila inategemeana na unafanya kazi wapi..

Marekani na nchi zinazojali raia zao huwa wanaweka viwango vya mishahara kulingana na gharama za maisha za jimbo au mkoa husika..

Mfano pale Marekani, mshahara wa mtu anayefanya kazi New York haufanani na anayefanya kazi Alabama.
 
Kwa walimu wa bongo naona kunguni ana maisha mazuri kuliko wao
 
Back
Top Bottom