Maoni, Mapendekezo na Ushauri kwa Walimu
Ukweli ndio huo, mshahara wanaopewa hawa viumbe Kwa kweli huwa nawaza wanaishije Kwa sababu hata ukisema ujibane vipi hautoshi. Ajabu hizi njemba zinadunda tu khaaa [emoji28][emoji28][emoji28]

Mwalimu tangu aanze kazi mshahara haijawahi kukutana kwenye account, ukitoka tar 22 mpe siku tano mbele baada ya hapo anaanza kuishi Kwa kuunga Unga

Maisha Yao niyamajuto, kuperekeshwa, kudharauliwa na kupuuzwa kama nguruwe. Sasa hawa ni binadamu au mizoga [emoji1787][emoji1787][emoji1787], yani jamii nzima inawaona ni viumbe wa ajabu sana unaweza vp kuishi Kwa mshahara wa barmaid na ukadunda.

Walimu wanatia aibu vibaya mno, sijui tuwaweke kwenye kundi gani maana hata tukiwagroup kwenye kundi la wanyamapori naona bado tunawapendelea tu hawana sifa hizo, wao wamezidi
Kama unalipwa 100k mwezi utaishaje. Pole mwalimu wa chekechea. Kuna waalimu wana vuta 2M per month. Sasa ww tukana tu badala uishi na watu vizury
 
Daa wejamaa daa una matusi sana …eti kundi la wanyama pori…!
Lakini pamoja na hayo yote unasidia kuwa kumbusha serikali kujali maslai ya kundi hili….!
Wewe unaweza kuwa una watukana mdomoni lakini kuna watu wana watukana kwa vitendo kabisa na wapo serikalini maana wana watesa na kuwadharau na kuwakebei kuliko wewe!

Mimi naona ifike wakati Walimu walipwe mishahara mizuri kuliko kundi lolote na ianzishwe posho ya mazingira magumu kwa kada ya Ualimu!
 
Umeongea Kwa hisia saana, posho ndo mwarubaini
 
Ukweli ndio huo, mshahara wanaopewa hawa viumbe Kwa kweli huwa nawaza wanaishije Kwa sababu hata ukisema ujibane vipi hautoshi. Ajabu hizi njemba zinadunda tu khaaa [emoji28][emoji28][emoji28]

Mwalimu tangu aanze kazi mshahara haijawahi kukutana kwenye account, ukitoka tar 22 mpe siku tano mbele baada ya hapo anaanza kuishi Kwa kuunga Unga

Maisha Yao niyamajuto, kuperekeshwa, kudharauliwa na kupuuzwa kama nguruwe. Sasa hawa ni binadamu au mizoga [emoji1787][emoji1787][emoji1787], yani jamii nzima inawaona ni viumbe wa ajabu sana unaweza vp kuishi Kwa mshahara wa barmaid na ukadunda.

Walimu wanatia aibu vibaya mno, sijui tuwaweke kwenye kundi gani maana hata tukiwagroup kwenye kundi la wanyamapori naona bado tunawapendelea tu hawana sifa hizo, wao wamezidi
kausha damu ni kitu mbaya sana aisee, acha kabisaa....

Ewe Mwalimu kama hujaanza usijaribu.....

Don't try this at home or at school...
 
Umeongea Kwa hisia saana, posho ndo mwarubaini
Kuna sehemu nilikwenda ni kijijini sana yani kuna shule hadi ya sekondari na ina wanafunzi wengi tuu! Kuna nyumba za walimu zimejengwa na wanakijiji lakini umeme hakuna na maji hakuna kwa hiyo maji wanayatoa mbali inabidi kuwatumia wanafunzi kupata maji…

Sasa kwa hali kama hii kwanini kada hii isidharaulike? Na kwanini wasilipwe posho za mazingira magumu kama kada ya afya?
 
Back
Top Bottom