Ukweli ndio huo, mshahara wanaopewa hawa viumbe Kwa kweli huwa nawaza wanaishije Kwa sababu hata ukisema ujibane vipi hautoshi. Ajabu hizi njemba zinadunda tu khaaa [emoji28][emoji28][emoji28]
Mwalimu tangu aanze kazi mshahara haijawahi kukutana kwenye account, ukitoka tar 22 mpe siku tano mbele baada ya hapo anaanza kuishi Kwa kuunga Unga
Maisha Yao niyamajuto, kuperekeshwa, kudharauliwa na kupuuzwa kama nguruwe. Sasa hawa ni binadamu au mizoga [emoji1787][emoji1787][emoji1787], yani jamii nzima inawaona ni viumbe wa ajabu sana unaweza vp kuishi Kwa mshahara wa barmaid na ukadunda.
Walimu wanatia aibu vibaya mno, sijui tuwaweke kwenye kundi gani maana hata tukiwagroup kwenye kundi la wanyamapori naona bado tunawapendelea tu hawana sifa hizo, wao wamezidi