Maoni, Mapendekezo na Ushauri kwa Walimu
Nipo apa na jamaa mmoja anatupa story yeye ni mwalimu anasema inafikaga wakati hali inakuwa ngumu hata Familia inalala njaa. Walimu wana mishahara midogo sana hawawez hata kujiamini popote pale walipo ndio mana wana hofu

Uoga wao ni kutokana na ugumu wa maisha waliyonayo, serikali waoneeni huruma walimu jamani na hii January ili wapate nauli ya kurudi makazini lazima wakakope Bayport
Ni kweli japo wenye scale LSS za mishahara watakupuuza.

Bora mtoto wakala wa mpesa tigo pesa kuliko kuwa mwalimu kwa hali ya Ualimu kwa sasa hivi.
 
Jambo la msingi ni kutumia au kuwa na matumizi yaliyo ndani ya mshahara wako
Haya ndio matumizi ambayo ameyaelezea hapo juu, ni kula ugali kabichi mwezi mzimaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Naona na wewe una maisha magumu sana. Ndo maana hupatani na wenzio kabisa. Hii yako ya utoke vipi tumeichoka tafuta hoja nyingine. Nawaheshimu walimu bila wao leo nsingekuwa nakula maisha na perdiem za nje ya nchi daily. Acha stress dogo.
Wewe unakula bata halafu umewaacha hao walimu wako wakisotea kilo 4 kwa mwezi mzima !!

Kula wali nyama tu kwenye nyumba ya mwalimu ni mgogoro mkubwa balaa. We una enjoy tu ??

Kila mtu apambane na hali yake ila huko mbeleni kutakuwa hakuna tena walimu wa kufundisha watoto wenu.
 
Mods mfungulieni tuu...mimi mwenyewe ni mwalimu....kuanzia jana tar mbil ...naongea mwenyewe barabaran...yaan ilifika sehem nikashindwa vuka barabara ya vumbi...nikavushwa na mwanafunz wangu wa darasa la kwanza....yaan hapa sielewi ni kama introduction na conclution vimekaa sehemu moja...walimu tuna hali ngumu
 
Wewe unakula bata halafu umewaacha hao walimu wako wakisotea kilo 4 kwa mwezi mzima !!

Kula wali nyama tu kwenye nyumba ya mwalimu ni mgogoro mkubwa balaa. We una enjoy tu ??

Kila mtu apambane na hali yake ila huko mbeleni kutakuwa hakuna tena walimu wa kufundisha watoto wenu.
Hatuwezi kulingana..... Ila siwezi wakashifu hata kidogo. Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake
 
Asilimia kubwa Wanaochukia kazi ya Uwalimu ni Wale waliosomea hio kazi , wakatafuta ajira wakakosa...
Chuki yoyote lazima iwe na sababu

Hivi wewe Ni Dr, Injinia, Mfamasia, Mlinzi, mfanyabiasha zako(sizungumzii mfanyabiashara aliyekosa ajira) n.k unakuaje na chuki na kazi ya ualimu? Inakuhusu nini? Mtu aliye busy na mishe zake huwezi kua na mda na chuki na mtu/watu, chuki ni matokea ya njaa, disappointments n.k

Kwa nia njema ulipaswa uelezee tuu uhalisia, kazi ya ualimu ni duni, na huo ndio ukweli, wape ushauri
Wasiposikia achana nao waburuzwe wenyewe.
 
Back
Top Bottom