Maoni, Mapendekezo na Ushauri kwa Walimu
Walimu wana mishahara midogo sana hawawez hata kujiamini popote pale walipo ndio mana wana hofu

Uoga wao ni kutokana na ugumu wa maisha waliyonayo, serikali waoneeni huruma walimu jamani na hii January ili wapate nauli ya kurudi makazini lazima wakakope Bayport
Halafu mgonga meza Dodoma analipwa posho ya 300K sawa na mshahara wa mwezi wa mwalimu
 
IMG-20240103-WA0015.jpg

Mpwayungu Village acha uongo
 
Nipo apa na jamaa mmoja anatupa story yeye ni mwalimu anasema inafikaga wakati hali inakuwa ngumu hata Familia inalala njaa. Walimu wana mishahara midogo sana hawawez hata kujiamini popote pale walipo ndio mana wana hofu

Uoga wao ni kutokana na ugumu wa maisha waliyonayo, serikali waoneeni huruma walimu jamani na hii January ili wapate nauli ya kurudi makazini lazima wakakope Bayport
Naona na wewe una maisha magumu sana. Ndo maana hupatani na wenzio kabisa. Hii yako ya utoke vipi tumeichoka tafuta hoja nyingine. Nawaheshimu walimu bila wao leo nsingekuwa nakula maisha na perdiem za nje ya nchi daily. Acha stress dogo.
 
Unamuheshimu mtu aliyefeli form four /six akaona awe mwalimu tuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom