Walimu wote wakiwemo na wakuu wa shule za sekondari wanatoa maji Wilayani Kaliuhua kwenda Unguja?
 
walimu wamedharaulika sana miaka hii na hii yote ni kwa sababu masiisiiemu yameamua kuua kada hiyo kwa makusudi, zamani ilikuwa mwenye nyumba nzuri, mwalimu, mwenye bomba la maji nyumbani kwake , mwalimu, mwenye angalau familia bora kidogo, mwalimu, kule village hata mwenye baiskeli ama nyumba ya bati alikua mwalimu lakini sasahivi, mhh naomba niishie hapo tu, ila POLeni sana
 
Ni ngumu mtu ambaye siyo kada yake kupoteza bando na muda kuandika magumu na ubaya wa kada nyingine alafu ni kitu ambacho hakimuusu.Mfano siyo rahisi mwanasheria akapoteza muda wake kuandika na kukandia injiania kuwa kazi yake ni mbaya na mengine.Huyu dada Mpwayungu kama anavyojiita Kwa mwandiko wake na mada zake lazma ni MWL ndiyo maana ana abc nyingi za walimu.Huyu mtu maisha yatakuwa yamempiga sana au anatumia vileo vikali vilivyompotezea kuwa na akili Sawa.Mtu mwenye majukumu yake ya Kila siku hawezi kuwa na muda wa hovyo kuandika mambo kama haya.Waacheni walimu wapambane na hali zao.Uwalimu ungekuwa ni Jimbo basi tungemwambia akagombee ili kuwasaidi walimu.Waache
 
Hana chuki na walimu ni vile tu nyi mnakosa jicho la tatu, huyo mpwayungu ni mwalimu yupo kutetea haki zetu sisi walimu, hapa niliposiijui kesho yangu mshahara uliisha japo sina matumizi mengi kila siku nakula ugali na maharage na figiri kwani sisi hatumipendi kula nyama choma kama nyie.
 
Mzee ulimwagilia moyo sana xmass na new year.
 
Dah! Naona Mwalimu Mpwayungu umeanza mwaka mpya kwa kupigwa shoti ya umeme.
 
Hata mimi nashangaa kwanini wamempiga ban hawa moderator mbona wanafuata mihemko ya watu, mtu anawawatetea walimu kila siku lakini bado hawaoni juhudi za huyu mkulungwa.
Moderators nao uwezo wao mdogo sana. Au wameanza kutumiwa vibaya na ccm kama CWT.
 
Haya au huo ndio uhalisia wa maisha ya walimu. Yamejaa majuto na masikitiko mengi.

Wapo ili kubadili kalenda tu na hii ina madhara makubwa huko baadae kwa Serikali ya ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…