Maoni, Mapendekezo na Ushauri kwa Walimu
Wanajamii Naomba muweke wazi namuwaambie Kwa staha kabisa hawa kipi haswa wafanye ili bajeti Yao ya maisha iendane na mshahara wao maana Leo wakipata hesabu siku Sita mbele utakuta wamebaki na maboringo tu hawana hata sumuni.
 
Wanajamii Naomba muweke wazi namuwaambie Kwa staha kabisa hawa kipi haswa wafanye ili bajeti Yao ya maisha iendane na mshahara wao maana Leo wakipata hesabu siku Sita mbele utakuta wamebaki na maboringo tu hawana hata sumuni
Serikali imfikirie Huyu mtu Ajira zijazo za ualimu. Yale maombi yake yakumbukwe... Maana Kila inapofika tarehe hizi hupata tatizo.. tarajio lake ilikuwa tarehe hizi nae awe kwenye foleni nje ya ATM... Lakini imekuwa kinyume. Okoeni maisha ya Huyu mhanga !!
 
Wanajamii Naomba muweke wazi namuwaambie Kwa staha kabisa hawa mabumunda kipi haswa wafanye ili bajeti Yao ya maisha iendane na mshahara wao maana Leo wakipata hesabu siku Sita mbele utakuta wamebaki na maboringo tu hawana hata sumuni

Yani kama mapaka vile dah[emoji23][emoji23][emoji23]
Alipe riba la Deni la mtaani, na apunguze mzizi

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Hii kada sifa kuu ni umasikini, ukitaka kujua sifa za umakini na vyanzo vyake basi witness number moja ni mwalimu muulize tu kuhusu topic ya poverty atakavyokudadafulia

Walimu ni watu ambao kwanzia unyayo mpaka ubongo wananuka uvundo wa shida zilizokubuhu, hawanaga kitu hawa ni makapuku wa kutupwa. Sasa hivi macho Yao yote yapo siku ya Leo kwenye ATM pesa ikiingia tu hata kama alienda bafuni basi anagaili kuoga kama kashaweka sabuni kichwani povu litafutwa na taulo ili akimbie Bank

Sijui tuwaweke Wapi hawa, maana hata kwenye absolute poverty wamepitiliza, wapo below poverty line nadhani.
 
Mungu anakuona ujuee..kwa huu uzalilishaji wako kwa walimu..hata wakiwahi huko Atm wewe inakuhusu nini?...Inashangaza mnoo
 
Back
Top Bottom