Maoni, Mapendekezo na Ushauri kwa Walimu
Mbona unaongeza maswali? Umetaka nitaje mtaa tena unasema niwe specific for what??? Au uliuliza kuhusu biashara??
Aahaaaaa,sawa usinikimbie kama kweli upo Kariakoo

Miye ipo wazi,Jumanne nipo Dar,Ijumaa nakuja Kariakoo,aaahaa

Nishaagiza vijana wangu wafanye deep thorough sweeping kama kweli upo hapo

Nakusubiria Kwa hamu
 
Mm Nina Ndugu yangu aliacha Ualimu akaenda Kuwa Mchungaji kwa sababu ya wito.
Mwingine alimaliza mwaka 2015 Course ya Ualimu hizi ajira za juzi alijaribu kuomba kama kimasihara akashangaa wamempa ajira ila aligoma kuripot kazini mpaka saiv yupo na mishe zake
 
Vitu ambavyo hii kazi imenipa siwezi hata kukusimulia maana hutaelewa hii kazi ni Kazi ya MUNGU ni kama utume , unabeba maisha ya watu wengi sana ukiifanya kwa moyo BARAKA TELE…
Huyo ni reject,system ilimtema,hivyo ana bifu na Serikali na walimu
 
Back
Top Bottom