Maoni, Mapendekezo na Ushauri kwa Walimu
Mwl hafurahii maisha ktk haya.
1.hali vizuri, wengi Wana malnutrition
2.hawavai vizuri, wengi nanavaa second hand clothes grade c sio A
3.usafiri wanatumia miguu, Kuna kipindi nlikua geita napiga kazi kwa roli moja ya kumbeba maknikia tunatoa shenda na mwabomba via masumbwe mpaka ushirombo. Walimu wakitupiga mkono tunakalisha juu ya kifusi nyuma tunabwaga mmoja mmoja njiani
4.hawali Bata classic. Starehe zao ni vilabu vya pombe chafu chafu na akionekana baa ni Mara moja sana tena kwa offer
5.hawana furaha na ndoa zao. Wengi hawaoa piss Kali Wana wanawake ilimradi tu anakojoa amechichumaa maana wengi wanawapata vilabu vya pombe. Ni ngumu kumkuta ticha wa kike kaolewa na mwl now days
6.biashara zao nazo ni za kuunga unga tu utaikuta mwl anafuga kuku hata 30 hawafiki na hawana matunzo wanaugua ugua na afya hawana Kama mwl mwenyewe
kama kuna shahada ya dharau wewe wakupatie aise
 
Futureless man
 
Dunia ya sasa tofauti na zamani wenye pesa kama sisi ni kubadilisha location tu, Jumatatu mpaka Jumatatu ukitoka kitambaa Cheupe Jumanne tunaenda Small Planet, Jumatano Wavuvi camp, Alhamis Liquid bar, Ijumaa tunaruka Maasai, Jumamosi tunarudi Kisuma afu Jumapili tunapaa Beach Kidimbwi kutumia pesa

Lakin walimu wanabaki kunywa balimi na double Kiki tu, ananuka vumbi la chaki suruali imepauka shati halijulikani ni jekundu au lapink. Wapo wapo tu kazi yao kukopa sukari na dagaa kwenye viduka vya mangi. Utakuta wamevaa viatu vya four angle vya buku tatu tatu. Hawana jipya hawa sijui wana faida gani
Masikini akipata.....
 
Umesema ukweli, nyumba za walimu zinavuja kweli kweli, nyingi ni Kongwe na hazina ratiba ya ukarabati.
Wanaishi Kama kuku na mvua hizi.
 
Mbinu unayotumia ni ya kuwajaza walimu waichukie serikali lakini kwa taarifa Yako no walimu wachache sana wako jf na wote waliomo humu hawana niaa hivyo tafuta namna nyingine ya kuwafikia walimu wanaofanana na Hali ngumu unazozitangaza ili waichukie CCM.Humu sio mahali pake.Labda kama unataka kufurahisha genge la vijana na wazee wa mjini.
Ungejinyamazia tu
 
Chizi wewe
 
Serikali waoneeni huruma walimu wanaishi kwa mateso sana, na hizi mvua nyumba zao zinajaa Maji maana zishachoka zinavuja tu, nyumba mbovu kama mabanda ya nguruwe.

Kuna mwalimu nimempa hifadhi kwangu akae Kwa mda maana nyumba zao zinavuja sana, naongea nyumba za serikali ambazo walimu wanakaa. Walimu kwenye hii nchi ni jehanamu tosha.
Jana nimeandika uzi wa kukusagia kunguni ilo mod wakufute sema umetia huruma huo PM zao wakaufuta. Kmmqe zako kutukana waalimu. Wazazo wetu no waalimu na wana maisha mazuri tu kenge wewe. Na tecno yako ilopasuka kioo
 
Chiz fresh wewe, tahila mkubwa we
 
Back
Top Bottom