Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Jamaa wapo ajili ya kula tu hawana jipyaNimeona mkeka wa baraza jipya la Mawaziri, unajiuliza uchaguzi umeisha au bado tupo Kwenye kampeni? Watu waliopo Kwenye baraza la Mawaziri ni watoto wa familia zilezile zinazoelekea kustaafu au zilizostaafu. Hakuna ufanisi, ubunifu wala mikakati ndani ya baraza bali wamewekwa watu wakumsaidia Mhe. Rais kupiga kampeni kuelekea uchaguzi ujao.
Baraza la Mawaziri kwa kipindi hiki halipaswi kujazwa watu wa propaganda, inahitaji watu wakufikiri kuhusu maendeleo ya nchi yetu. Baraza la sasa limerejesha fadhila Kwa timu Jk baada ya miaka mitano ya mateso. Naiona Tanzania maskini huko tuendako
Mkuu ulitegemea kitu gani kutoka kwa hao maccm?Nimeona mkeka wa baraza jipya la Mawaziri, unajiuliza uchaguzi umeisha au bado tupo Kwenye kampeni? Watu waliopo Kwenye baraza la Mawaziri ni watoto wa familia zilezile zinazoelekea kustaafu au zilizostaafu. Hakuna ufanisi, ubunifu wala mikakati ndani ya baraza bali wamewekwa watu wakumsaidia Mhe. Rais kupiga kampeni kuelekea uchaguzi ujao.
Baraza la Mawaziri kwa kipindi hiki halipaswi kujazwa watu wa propaganda, inahitaji watu wakufikiri kuhusu maendeleo ya nchi yetu. Baraza la sasa limerejesha fadhila Kwa timu Jk baada ya miaka mitano ya mateso. Naiona Tanzania maskini huko tuendako
Tulivyowaambia kuwa ccm inawenyewe hawakutuelewaTulieni, Chama Cha Mapinduzi kina wenyewe[emoji481]
Hili baraza limeonyesha kiwango kikubwa sana cha insecurity, kiufupi jinsia inaathiri utendaji wa mama yenu.Mama uwezo mdg mno, washauri nao wanashauri kwa uwoga
Hakuna Baraza hapo zaidi ya vichekesho, watu walio pewa nafasi huoni uwezo wao wa kufanya lolote la maana ndani ya baraza/wizara aliyo pewa
Au ndo waiotaka uraisLukuvi hayumo, duh
Yule sio mwanafamilia.Lukuvi hayumo, duh
Hagaya ni utopoloLukuvi
Kabudi
Una maana hawa jamaa ni wavivu?
Sikiliza vizuri nyimbo mbili na uzitafakari kwa kina ndo utajua hujui:Nimeona mkeka wa baraza jipya la Mawaziri, unajiuliza uchaguzi umeisha au bado tupo Kwenye kampeni? Watu waliopo Kwenye baraza la Mawaziri ni watoto wa familia zilezile zinazoelekea kustaafu au zilizostaafu. Hakuna ufanisi, ubunifu wala mikakati ndani ya baraza bali wamewekwa watu wakumsaidia Mhe. Rais kupiga kampeni kuelekea uchaguzi ujao.
Baraza la Mawaziri kwa kipindi hiki halipaswi kujazwa watu wa propaganda, inahitaji watu wakufikiri kuhusu maendeleo ya nchi yetu. Baraza la sasa limerejesha fadhila Kwa timu Jk baada ya miaka mitano ya mateso. Naiona Tanzania maskini huko tuendako
Mama uwezo mdg mno, washauri nao wanashauri kwa uwoga
Hakuna Baraza hapo zaidi ya vichekesho, watu walio pewa nafasi huoni uwezo wao wa kufanya lolote la maana ndani ya baraza/wizara aliyo pewa