Maoni: Safu ya Baraza la Mawaziri haiakisi maendeleo, inaakisi nchi kumilikiwa na familia fulani zinazoamini bila wao hakuna Tanzania

Maoni: Safu ya Baraza la Mawaziri haiakisi maendeleo, inaakisi nchi kumilikiwa na familia fulani zinazoamini bila wao hakuna Tanzania

Mama uwezo mdg mno, washauri nao wanashauri kwa uwoga

Hakuna Baraza hapo zaidi ya vichekesho, watu walio pewa nafasi huoni uwezo wao wa kufanya lolote la maana ndani ya baraza/wizara aliyo pewa
Tupo naye miaka 10 alafu maana sio WA kutoka madarakani
 
On my view:

Magufuli alifanikiwa sana kwenye uchaguzi kutokana na ufanisi kila kona kutokana na mawaziri aliokuwa nao.

Ushindi wa CCM 2025 utakuwa determined sana na perfomance ya hili baraza.
Uchaguzi gani unaosema? . Uchafuzi uliosimamiwa na Mpumbavu Mahela??
 
Wananchi hivi kwa baraza la mawazili lililoteuliwa leo, kweli hili baraza ndio litatuvusha kwenye mikakati ya maendeleo mpaka kufika 2025, au mawazili walioteuliwa wameteuliwa kwa ajili ya kutumika kuivusha tena kijani 2025, kama kweli tunahitaji maendeleo basi hatuna budi kuuvaa ujasiri na kukataa kupelekeshwa kwa namna hii.
Ifike mahari tuseme sasa imetosha enough is enough!!!! Tuache woga watz
Unaongea na kizazi gani cha watanzania? Hawa hawa waoga na wanafki?

Labda kizazi kijacho. Ila hiki kilichopo sasa hiv usiweke nacho matumaini.
 
Muda wa kubebana umetosha. Uchaguzi Mkuu 2025 wananchi watafanya maamuzi. Izingatiwe kuwa wapigaji kura wengi watakuwa vijana ambao TEHAMA wanaitumia vyema.

Tuhamasishane kuwanyima kura wanasiasa wenye agenda binafsi ili wasiweze kupewa uteuzi na mamlaka
Kwa tume hii hii au nyingine?
 
Magufuli alijaza ndugu kuanzia baraza,hazina hadi makatibu tawala akiwemo mwanaye wa kumzaa Ruth Magufuli ambaye ni katibu tawala wilaya ya Morogoro.

Hoffman Sanga mkwe wake Magufuli katibu tawala wilaya ya Mvomero.

Dotto James katibu mkuu hazina ili kurahisisha uchotaji wa fedha bila kuulizwa.

Haya mbona hukuhoji hadi ukae kuhoji leo?
Katibu tawala wilaya hivi hako kacheo ni kadogo Sana ndugu yangu hujui kuna position nyingi nzuri .na nzuri huko mawizarani na kwenye taasis

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Hili baraza limeonyesha kiwango kikubwa sana cha insecurity, kiufupi jinsia inaathiri utendaji wa mama yenu.

Yes hakuna nchi yoyote iliyowahi kufanikiwa kwa kuongozwa na mwanamke kama kiongozi mkuu kabisa except Germany, ni swala la muda tu.
Joyce Banda alipata muhura mmoja wa kuiongoza Malawi, uchaguzi ulipofika hakuamini alichokiona kwenye boksi la kura. Chief Hangaya na CCM iliyogawanyika vipande, kaeni chonjo.... October 2025, tusiofurahishwa na mwenendo huu wa kurithishana utawala kiukoo,... tuna jambo letu. 😳 🤔
 
Lukuvi
Kabudi
Una maana hawa jamaa ni wavivu?
Hawa ni wachapa kazi wazalendo Kabudi aliongoza jopo la kupambana na mabeberu kwenye mikataba ya madini hadi raha na Lukuvi kashughulikia ardhi zilizochukuliwa kibabe na wastaafu na watoto wao na familia zao ni lazima waondolewe na Samia ili awe na amani au kuwaridhisha wenye nchi kina JK
 
Joyce Banda alipata muhura mmoja wa kuiongoza Malawi, uchaguzi ulipofika hakuamini alichokiona kwenye boksi la kura. Chief Hangaya na CCM iliyogawanyika vipande, kaeni chonjo.... October 2025, tusiofurahishwa na mwenendo huu wa kurithishana utawala kiukoo,... tuna jambo letu. 😳 🤔
Mimi na familia yangu kura zetu kwa mzee wa Ubwabwa ili atuletee bahari ya Hindi hadi Kongwa kwa mzee Ndugai
 
Tume haipigi kura. Kama kila mgombea ataweza kuweka mtu anayemwamini kwenye vituo vya kupigia kura, hakuna sababu ya kutilia mashaka hesabu ya kura
Tume haipigi kura lakini ndio inasimamia uchaguzi.
Lakin tume hiyo hiyo inachaguliwa na namba 1. Unadhan wanaweza kwenda kinyume nae?
 
Back
Top Bottom