...umefanya vyema kumuambia ukweli...Sasa achague mwenyewe kula au kulala njaa.Hata Magu alilipa fadhila Kwa familia.Hii nchi ina wenyewe sisi wengine tunakula wanavyotumegea ππ.
Kuwa chawa acha kulia Lia kama mtoto.
Tupo naye miaka 10 alafu maana sio WA kutoka madarakaniMama uwezo mdg mno, washauri nao wanashauri kwa uwoga
Hakuna Baraza hapo zaidi ya vichekesho, watu walio pewa nafasi huoni uwezo wao wa kufanya lolote la maana ndani ya baraza/wizara aliyo pewa
Uchaguzi gani unaosema? . Uchafuzi uliosimamiwa na Mpumbavu Mahela??On my view:
Magufuli alifanikiwa sana kwenye uchaguzi kutokana na ufanisi kila kona kutokana na mawaziri aliokuwa nao.
Ushindi wa CCM 2025 utakuwa determined sana na perfomance ya hili baraza.
Unaongea na kizazi gani cha watanzania? Hawa hawa waoga na wanafki?Wananchi hivi kwa baraza la mawazili lililoteuliwa leo, kweli hili baraza ndio litatuvusha kwenye mikakati ya maendeleo mpaka kufika 2025, au mawazili walioteuliwa wameteuliwa kwa ajili ya kutumika kuivusha tena kijani 2025, kama kweli tunahitaji maendeleo basi hatuna budi kuuvaa ujasiri na kukataa kupelekeshwa kwa namna hii.
Ifike mahari tuseme sasa imetosha enough is enough!!!! Tuache woga watz
Kwa tume hii hii au nyingine?Muda wa kubebana umetosha. Uchaguzi Mkuu 2025 wananchi watafanya maamuzi. Izingatiwe kuwa wapigaji kura wengi watakuwa vijana ambao TEHAMA wanaitumia vyema.
Tuhamasishane kuwanyima kura wanasiasa wenye agenda binafsi ili wasiweze kupewa uteuzi na mamlaka
Katibu tawala wilaya hivi hako kacheo ni kadogo Sana ndugu yangu hujui kuna position nyingi nzuri .na nzuri huko mawizarani na kwenye taasisMagufuli alijaza ndugu kuanzia baraza,hazina hadi makatibu tawala akiwemo mwanaye wa kumzaa Ruth Magufuli ambaye ni katibu tawala wilaya ya Morogoro.
Hoffman Sanga mkwe wake Magufuli katibu tawala wilaya ya Mvomero.
Dotto James katibu mkuu hazina ili kurahisisha uchotaji wa fedha bila kuulizwa.
Haya mbona hukuhoji hadi ukae kuhoji leo?
Joyce Banda alipata muhura mmoja wa kuiongoza Malawi, uchaguzi ulipofika hakuamini alichokiona kwenye boksi la kura. Chief Hangaya na CCM iliyogawanyika vipande, kaeni chonjo.... October 2025, tusiofurahishwa na mwenendo huu wa kurithishana utawala kiukoo,... tuna jambo letu. π³ π€Hili baraza limeonyesha kiwango kikubwa sana cha insecurity, kiufupi jinsia inaathiri utendaji wa mama yenu.
Yes hakuna nchi yoyote iliyowahi kufanikiwa kwa kuongozwa na mwanamke kama kiongozi mkuu kabisa except Germany, ni swala la muda tu.
Hawa ni wachapa kazi wazalendo Kabudi aliongoza jopo la kupambana na mabeberu kwenye mikataba ya madini hadi raha na Lukuvi kashughulikia ardhi zilizochukuliwa kibabe na wastaafu na watoto wao na familia zao ni lazima waondolewe na Samia ili awe na amani au kuwaridhisha wenye nchi kina JKLukuvi
Kabudi
Una maana hawa jamaa ni wavivu?
Mimi na familia yangu kura zetu kwa mzee wa Ubwabwa ili atuletee bahari ya Hindi hadi Kongwa kwa mzee NdugaiJoyce Banda alipata muhura mmoja wa kuiongoza Malawi, uchaguzi ulipofika hakuamini alichokiona kwenye boksi la kura. Chief Hangaya na CCM iliyogawanyika vipande, kaeni chonjo.... October 2025, tusiofurahishwa na mwenendo huu wa kurithishana utawala kiukoo,... tuna jambo letu. π³ π€
Hamna kitu mle.Live kabisa tumepigwa na huyu Mama. Naona hasira hata kusikia mambo yoyote ya nchi hii.
Teteteee maza ako kateuliwa?Tulieni nyie mabavicha!..
Si juzi aliposema anaandaa mkeka mkaanza kushangilia mlifikiri anamteua Lisu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji205][emoji205]
Tume haipigi kura. Kama kila mgombea ataweza kuweka mtu anayemwamini kwenye vituo vya kupigia kura, hakuna sababu ya kutilia mashaka hesabu ya kuraKwa tume hii hii au nyingine?
Wakati ule wa Mwendazake akifanya teuzi zake kwa ratio ya 10:1 mlikuwa mnasema kama Wana sifa haina shida.Sahivi ni zamu ya Zanzibar, Pwani na waislamu
Tume haipigi kura lakini ndio inasimamia uchaguzi.Tume haipigi kura. Kama kila mgombea ataweza kuweka mtu anayemwamini kwenye vituo vya kupigia kura, hakuna sababu ya kutilia mashaka hesabu ya kura
Ndiyo ukweli ameegemea sn kwenuWakati ule wa Mwendazake akifanya teuzi zake kwa ratio ya 10:1 mlikuwa mnasema kama Wana sifa haina shida.
Leo hamzingatii sifa tena? Mnataka mizania?
Kama watafanya kazi vizuri sawa hapa ninapoona umuhimu wa katiba mpya ambayo tutapata tume huru ya uchaguziSahivi ni zamu ya Zanzibar, Pwani na waislamu