Maoni: Safu ya Baraza la Mawaziri haiakisi maendeleo, inaakisi nchi kumilikiwa na familia fulani zinazoamini bila wao hakuna Tanzania

Hili balaza la ajabu, ila acha inyeshe tuone panapovuja
 
On my view:

Magufuli alifanikiwa sana kwenye uchaguzi kutokana na ufanisi kila kona kutokana na mawaziri aliokuwa nao.

Ushindi wa CCM 2025 utakuwa determined sana na perfomance ya hili baraza.
 
Uko wapi mbona haujaupandisha hapa jukwaani, vinginevyo utuambie nani yumo nani Chali🤔.
 
Hili baraza limeonyesha kiwango kikubwa sana cha insecurity, kiufupi jinsia inaathiri utendaji wa mama yenu.

Yes hakuna nchi yoyote iliyowahi kufanikiwa kwa kuongozwa na mwanamke kama kiongozi mkuu kabisa except Germany, ni swala la muda tu.
Germany yule mama ni waziri mkuu (counselor) na sio Raisi, Raisi wao nadhani ni mwanaume!
 
Sasa Kigwangwala hapo mbona haonekani ?

 
Hatuwezi kuifanya nchi kama kampuni?
Tunaingia mkataba na watu kuhusu mambo tunayotaka, tunakaa pembeni wao waendeshe?

Tumeshadhihirisha mara nyingi kwamba sisi mambo ya utawala na kusimamia mambo yalete maendeleo hatuko vizuri sana.

Tunawezakuamua kuwa na mfumo wetu tu. Hao jamaa ndio watahangaika na kusimamia kila kitu.

Rais na watu wachache sana wasiozidi kumi, kazi yao ku oversee kama tunaenda kwa kadri ya makubaliano.

Nchi masikini, tunachoma pesa kwa kurudia mambo yale yale. Sio afya.
 
Nadhan Sasa n muda wa kuonyesha rangi zao tu Wala wasijifiche

Awamu 4 inaongoza awamu ya 6

Sawa bwana hongeren wateuliwa keki yenu hii

Mwananchi acha kukaa ndan fursa zipo nying n aibu kijifungia ndan

Angalizo kufanya biashara kando ya barabara n kosa kwa Sasa

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Masauni ni wa znz pia
naona huu mwaka spika nae atoke tu znz
Waziri mkuu nae znz!

Hivi akina Kabudi, Mkuvi na wengine hata Majaliwa
si wajitoe ccm?
Kweli hii nchi imekuwa genge sasa!

Upinzani hii ndiyo nafasi pekee ya kuingia Ikulu
huenda Mungu amejibu maombi yenu
Cha msingi mleteni mtu sahihi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…