Narudia tena huenda unabeba maneno yanakuwezesha kujengea utetezi wako tu. Si kawaida kwa binadamu kuonyesha hadharani kufurahia kifo cha mtu. Hivyo usitarajie audience sawa kama ya waliojitokeza kuaga. Hao walioenda kumuaga hawakuwa watanzania wote, sasa sijui unatoa wapi uhalali kuwa watu wote/wengi walihuzunika kutokana na umati uliojitokeza. Na kama hawa ambao waliojitokeza kuonyesha furaha walizuiwa, unawezaje kujua walikuwa wachache?Ndio nimekuuliza ni kipi kinachokufanya ufikiri kuwa kulikuwa na watu wengi waliyofurahia kifo cha Jiwe sawa na wale tuliyowaona wakimuaga Jiwe au zaidi ya wale? usikimbilie kwenye kificho cha kudai et walikatazwa kana kwamba unajua kwamba hao walikuwepo kweli kwa kiwango sawa na kile ila tatizo ni kukatazwa. Ndio maana nikatoa mfano wa maandamano ya Lissu ambayo kwa kutizama mitandaoni mlikuwa mnaonesha kabisa mpo teyari kwa lolote hamuogopi kitu wengine tukawa tunasubiri tuone hizo fujo zitakuaje kati yenu na jeshi la polisi ila kumbe mtaani hali iko tofauti kabisa na mitandaoni na ndio kile kilichotokea siku ya tukio mtaani watu wako bize na shughuli zao hawakuwa na mawazo ya kufanya maandamano hakukuwa kabisa na dalili za kwamba hawa watu walikuwa wamepanga kufanya maandamano.
Sasa naona unaleta story hizo hizo za et walizuiliwa na ndio ishakuwa sababu ya kujifichia.
Mimi sijasema hao waliyofurahia kifo cha Jiwe wapo kiwango gani ila wewe ndio unasema kuwa wako wengi ila tatizo ni kuzuiliwa tu na ndio nikakuuliza kipi kinakufanya useme wapo wengi?Narudia tena huenda unabeba maneno yanakuwezesha kujengea utetezi wako tu. Si kawaida kwa binadamu kuonyesha hadharani kufurahia kifo cha mtu. Hivyo usitarajie audience sawa kama ya waliojitokeza kuaga. Hao walioenda kumuaga hawakuwa watanzania wote, sasa sijui unatoa wapi uhalali kuwa watu wote/wengi walihuzunika kutokana na umati uliojitokeza. Na kama hawa ambao waliojitokeza kuonyesha furaha walizuiwa, unawezaje kujua walikuwa wachache?
Hao waliokuwa wanataka kuandamana usalama wao ilikuwa ni kutojionyesha, huku Kila mmoja akisubiri kuona watu wengi kisha ndio ajitokeze. Kumbuka hata viongozi wa hayo maandamano walikamatwa ili kuzidisha hofu kwa waandamanaji. Ingekuwa hakukuwepo na vitisho vya vyombo vya dola kisha watu wasiandamane, hapo ungekuwa na cha kujivunia. Hayo maandamano yatakuwepo tu kama hali ya kidhalimu itajirudia. Hata hao waliotawaliwa miaka zaidi ya 20 kidictator mafanikio Zimbabwe, Egypt, Sudan nk ilisemekana hawawezi kuandamana, lakini siku ilifika na uliona kilichotokea.
Kwenye siasa hakuna adui wa kudumu,inambidi aende nao wote,team magufuli na team yake anayotengeza sasa,kujihakikishia njia 2025 atawahitaji wote,Umenena vyema sana mkuu,kudosBibafsi naungana nawe. Ila katika ishu ya kulivunja baraza la Mawaziri, nadhani angeshindwa mapema sana iwapo angefanya hivyo....
Yaani unapeleka ujumbe kwa Rais na Amiri Jeshi Mkuu kana kwamba unapeleka ujumbe kwa mtoto wako...huna heshima kabisa ndani ya maandishi yako...hata neno au maneno Mhe. Rais hakuna au hata Ndugu Rais hakuna....stupid guy...Nimeona ukikosea sana kwenye hotuba zako, kwakusema kuwa, waliokuwa wanajiuliza nani atakuwa Rais, aliyemama hapa ndiye Rais.
Au uliposema kuwa watu wanasema mwanake ataweza kuwa Rias, Mimi ndiye Rais....
Bibafsi naungana nawe. Ila katika ishu ya kulivunja baraza la Mawaziri, nadhani angeshindwa mapema sana iwapo angefanya hivyo...
Wisdom will kill you Mkuu.Bibafsi naungana nawe. Ila katika ishu ya kulivunja baraza la Mawaziri, nadhani angeshindwa mapema sana iwapo angefanya hivyo....
Pure chademanist and ant-Magufulist...Beberu agent!Nimeona ukikosea sana kwenye hotuba zako, kwakusema kuwa, waliokuwa wanajiuliza nani atakuwa Rais, aliyemama hapa ndiye Rais.
Au uliposema kuwa watu wanasema mwanake ataweza kuwa Rias, Mimi ndiye Rais....
Angelivunja, Kisha angelimteua tena, hii ingemtengenezea heshima na kuonekana anajiaminiBibafsi naungana nawe. Ila katika ishu ya kulivunja baraza la Mawaziri, nadhani angeshindwa mapema sana iwapo angefanya hivyo..
Wewe ndy mpumbavu Sana, wazazi wako hawajakufunza ipasavyo.Yaani unapeleka ujumbe kwa Rais na Amiri Jeshi Mkuu kana kwamba unapeleka ujumbe kwa mtoto wako...huna heshima kabisa ndani ya maandishi yako...hata neno au maneno Mhe. Rais hakuna au hata Ndugu Rais hakuna....stupid guy...
It is no wonder umeandika hivyo kuhusu ujumbe kwa Rais Kama ulivyouweka...a lunatic..iko tofauti Kati ya uongozi wa Mhe. Mama Samia na the late President JPM! ?Where is the difference? Umeaminishwa kuwa ipo tofauti na unaimba tofauti hewa?Wewe ndy mpumbavu Sana, wazazi wako hawajakufunza ipasavyo.
Ulitaka ninyee Kama mlivyokuwa mnajinyea kwa magufuli na kula mavi yenu?
Pumbavu wewe, kipi nilichokosea, nimemtukana?
We shenzi nini!! Mfyuuuuu
Kwenye siasa hakuna adui wa kudumu,inambidi aende nao wote,team magufuli na team yake anayotengeza sasa,kujihakikishia njia 2025 atawahitaji wote,Umenena vyema sana mkuu,kudos
Hawa wazee wengi wemepitia kipindi kigumu sana, alichowafanyia marehemu ni zaidi ya unyama.Mama rais wangu Samia tafuta muda ukae na wastaafu angalau uwasikilize, Wana machungu mno. Kile kilichoitwa kikokotoo hakikuwaacha salama. Wapo waliopunjika mil 10 Hadi 40 kwa hesabu ambazo wenyewe hawawezi kuzidai...
... Ujambazi kama huu ndio ulikuwa unaitwa "fedha za ndani"! Fedha za ndani huku unadhulumu watu haki zao? Hivi madaraja na haki za wananchi ni ipi legacy bora?Hawa wazee wengi wemepitia kipindi kigumu sana, alichowafanyia marehemu ni zaidi ya unyama.